![Rugemeleza Nshala Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1881796511245238273/gZqVgNqs_x96.jpg)
Rugemeleza Nshala
@rugemeleza
Followers
4K
Following
43
Statuses
190
The best days are ahead of us!
Tanzania
Joined October 2010
RT @HildaNewton21: Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara kwa Unyenyekevu Anakukaribisha ewe Mkristo Mkatoliki…
0
77
0
RT @frediejustine: .. Mwenye haki akiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua mioyo. Mnachomfanyia huyu mzee ni kinyum…
0
45
0
RT @fatma_karume: Trump kafukuza wafanyakazi wa Serikali ya 🇺🇸. UNION zao zinampeleka Mahakama kwa kuvunja HAKI zao. 🇹🇿 Magufuli alifukuza…
0
82
0
Tume ya Uchaguzi ni tatizo kubwa. Sio huru Mwenyekiti, Makamu wake na wajumbe wote na Mkurugenzi wake Mkuu ni wateule wa Raisi halafu hutemee mpinzani atangazwe kashinda. Mfumo mzima umepangwa kuhakikisha CCM inashinda kwa asilimiia 99.1.
0
8
27
Hiki Chama kimejaa kujisahau na kudharau Watanzania. Kwa shida zote zilizojaa nchini wao wanafikiria kushindana juu ya ulafi na Matanuzi. Watanzania waoneni walafi hawa wakataeni bila huruma. Chama Cha Makulaji.
Nimekaa na hawa Majamaa Bungeni , hii ndio kazi wanaiweza vizuri sana. Kuna mmoja wa Waziri alishwahi kuacha mkutano wa kujadili ujenzi wa hospital kubwa ya kisasa kama ilivyo Apollo India kwa sababu siku hiyo kulikuwa na mashindano ya kukimbiza Kuku na yeye angependa kushiriki.
1
12
43
RT @MwanzoTvPlus: #TANZANIA: CCM WAMEISHIWA WATU, IMEMRUDISHA MZEE WA MIAKA 80, HAWA CCM WAMECHOKA - DEDAN WANGWE Mwenyekiti wa @bavicha_ta…
0
48
0
Mzee Wassira unataka uthibitisho Gani zaidi kuwa CCM mashoga wamejaa. Amka toka usingizini na ukabiliane na ukweli kuwa ushoga, kwa CCM, ni mwendo mdundo.
Mama analalamika kwamba kuna idadi kubwa sana ya mashoga ndani ya chama chake cha CCM Halafu baadaye mzee Wasira anasema ushoga unatoka Magharibi Wakati kura ndani ya CCM wanapewa hao hao, CCM haieleweki
1
31
74
Ubarikiwe sana Maria kwa kuwa mstari wa mbele kupinga udhalimu wa Kila namna nchini Tanzania. Wewe ni Mtanzania halisi na mzalendo kweli kweli. Mungu Wetu Mwema akulinde na kukubariki Maria.
Shangazi @MariaSTsehai amekuwa MTU na BINADAMU Mwaminifu na Mpiganaji wa Kweli kwa Nyakati zote. Jumapili ya Leo ninawiwa kuwaalika kila Rafiki aliye mwema atamke neno la BARAKA Juu yake. Amani na iwe kwako SHANGAZI!!
7
45
188
RT @PMadeleka: Timu ya Mawakili wa DR. WILBROD SLAA tupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar Es Salaam Kisutu tangu SAA TATU ASUBUHI tukisubiri HA…
0
95
0
RT @MzeeFumbuaMacho: PAPA WA KATOLIKI... Kusubiria CCM waiendeleze na waiboreshe Tanzania, ni sawa sawa na Wakatoliki kusubiria PAPA atoke…
0
27
0
RT @mdudenyagali: Ninaumwa kwa siku mbili hizi nimeshindwa hata kutembelea mitandao ya kijamii. Ijapo kwa kuchelewa lakini nataka nimtakie…
0
116
0
RT @Jambotv_: HABARI PICHA: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @ChademaTz Tundu Lissu @TunduALissu akisalimiana n…
0
42
0
Mipasho yako haisaidii kitu. Mkiukaji mkubwa wa Sheria za Nchi yetu ni CCM. Mmeiba uchaguzi mara nyingi sana, umesema CCM haitatoka madarakani Hadi Yesu atakaporudi, Bashiru Ali alisema mtatumia dola kubaki na dola. Mmekiuka Katiba juu ya uhuru wa vyama siasa kufanya siasa, N.k.
📍VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara @ccm_tanzania, Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho, juzi.
2
9
40
RT @JoelyMsuya: Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. @TunduALissu akisalimiana na Dr. @wilbroadslaa akiwa kizimbani leo mahamani, Dr. Slaa amer…
0
23
0
Hiyo ndiyo falsafa ya 4R. Halafu unasema mnataka kuzungumza na Chadema? Inabidi mtu kuwa na mpumbavu kukubali kuzungumza na mtu Mwenye msimamo wa kibabe na kinyang'au!
Hatuhitaji @ccm_tanzania kuwa na Mipango ya kutoka madarakani ndipo iondoke. Tutawaondoa madarakani. Hamuwezi wageuza vijana wa nchi hii ombaomba wasio na ajira kisha ninyi mkaokotana wazee wa zama za Asw habul Qahafi kuja kutukana kizazi cha leo na bado mbaki madarakani.
0
0
2
Wanahoji zimekopwa kwa masharti yepi? Zinatumikaje, na zinawasaidiaje? Hiyo ni haki yao kuhoji kwani wao ndiyo watalipa. Wewe kama Raisi si mlipa Kodi hivyo walipa Kodi ndio Wana Kila haki ya kuhoji.
0
12
54