Joseph Oleshangay Profile
Joseph Oleshangay

@Oleshangay

Followers
12K
Following
4K
Statuses
18K

Advocate for Human Rights, democracy, rule of good laws, indigenous rights. Weimar Human Rights Award Winner 2023. Proud son of the land of man/Ngorongoro

Ngorongoro Arusha Tanzania
Joined November 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
2 years
MAASAI DELEGATION IN EUROPE: a humanitarian crisis designed and executed with all force by @SuluhuSamia regime In the past two weeks, Maasai delegation toured several countries in Europe to express concern over the humanitarian situation in Ngorongoro and Loliondo
15
107
264
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
11 hours
Wamesahau na term ya mkataba wa bandari wa DP-W? Kuna watu hawastahili kuwa madarakani for a day
4
16
51
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
11 hours
RT @MariaSTsehai: Hawa waarabu mbona wanapenda hii “East Gateway” Au wote lao moja? Huyu Bi Kizimkazi katuuza mazima! Sasa bandari zetu zi…
0
89
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
11 hours
0
42
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
11 hours
RT @EduTalkTz: Ninasoma hii nondo now. Unaambiwa wakati King Leopold anafanya harakati za kuicolonize Congo, mpaka Papa aliuziwa bondi😎.…
0
7
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
12 hours
😅😂😂
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
13 hours
Miaka 5 imekwisha. Mwana mpotevu anataka kurudi nyumbani. Majirani wana watoto wao wakuwalisha nakuwavisha. Jamani tujifunze kufa na tai shingoni.
Tweet media one
0
0
1
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
15 hours
Toeni taarifa za kutekwa kwa akina @DEUSDEDITHSOKA . Acheni kufuatilia vitu visivyo na maana
@tanpol
Police Force TZ
22 hours
Anatafutwa aliyetengeneza Taarifa za uongo na uzushi
Tweet media one
0
3
16
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
15 hours
RT @godbless_lema: Changia ku-support harakati CHADEMA.Jina litasema M-Pesa CHADEMA HQ: 0744-446969
0
186
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
15 hours
RT @fatma_karume: Tundu is very intelligent and extremely well read. He reads and writes a lot.
0
88
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
22 hours
@fatma_karume Shangazi tuna kesi nyingi za namna hii. Mahakama imekuwa sehemu ya kuchelewesha haki Tanzania. Haiwezi kuelezeka kesi inachukua 5-10-15-25 years in Court.
1
5
26
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
22 hours
RT @fatma_karume: Nimefurahi sana kusikia Wizara ya Ardhi imechukuwa ADMINISTRATIVE decision ku-correct a gross error. Walihamisha nyumba…
0
23
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
22 hours
RT @fatma_karume: Tukakata Rufaa. Kesi ikawekwa benchi miaka 4. Rufaa haisikilizwi. Leseni yangu ikachukuliwa. Wateja wakaenda kwa Mwanashe…
0
9
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
22 hours
RT @fatma_karume: True story: Miaka 20 iliopita nilipata wataje waliyekuja kwangu kutafuta msaada wa sheria baada kupitia yafuatayo. Shang…
0
97
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
22 hours
RT @fatma_karume: Wafanyakazi wakafanya urafiki na mwanamke nitamwita A kwa madhumuni ya kumyanng’anya nyumba Shangazi. A alikuwa na uwezo…
0
10
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
RT @odompopodo: huyu kijana ni hatari kwa usalama wa nchi kiasi kwamba anaweza kupotezwa ili nchi ibaki salama? kumtesa au kumuua ni kuichi…
0
10
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
RT @MariaSTsehai: Hivi @SuluhuSamia hawa vijana unawashikilia kupitia @tanpol kwa lengo gani? Kuteka na kuua si suluhusho maana malipo ni h…
0
113
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
@DrCyrilo @SuluhuSamia CCM sio chama cha siasa. Ni genge hawawezi sema lolote tofauti na mwenyekiti
2
6
42
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
RT @godbless_lema: Changia ku-support harakati CHADEMA.Jina litasema M-Pesa CHADEMA HQ: 0744-446969
Tweet media one
0
536
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
RT @MariaSTsehai: 🤣🤣🔥Spana size ngapi hii? @HecheJohn amemfuata Mzee Wasira hukohuko Kanda Maalum Mijitu inatufukarisha na wazee badala y…
0
93
0
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
Lissu is right. Mimi sijui Majaji walio kwenye tume ya uchaguzi huwa wanafanya nini Tume inatakiwa kusajili wapigakura Mara mbili na wala huwa hawafanyi Daftari linachezewa, marehemu wanahama vituo bila uwajibikaji
@Jambotv_
Jambo TV
2 days
VIDEO: "Wapiga kura waliopiga kura halali za wabunge kwa mujibu wa taarifa ya tume ya uchaguzi walikuwa takribani milioni 11. 8 lakini ukienda kwenye matokeo ya uchaguzi ya kila jimbo katika nchi yetu, ambayo tume iliyachapisha tarehe 5 Januari 2021 ukajumlisha matokeo ya kura halali katika majimbo yote ya nchi hii unagundua kwamba wapigakura halali waliopiga kura za wabunge katika uchaguzi mkuu uliopita ni takribani milioni 8.8, kuna kura zaidi ya milioni 2.1 ambazo hazijulikani zilitokea wapi, na asilimia 92 ya kura hizo zilipelekwa kwa wabunge wa CCM, sisi CHADEMA tumegawiwa hizo kura haramu 148000 lakini kura zaidi ya milioni 2 zilipelekwa kwa CCM, kura haramu kabisa. Sasa haya yanawezekana kwasababu tume haiwajibiki kueleza mtu yeyote idadi halisi ya wapigakura iliyowaandikisha, tume haiwajibiki kufungua server zake huko wanapohifadhi takwimu za wapiga kura kwa mtu yeyote. Na kwasababu haiwajibiki kufungua server zake kuonesha hizo takwimu, Tume imekuwa pamoja na serikali na CCM wanatumia mianya hiyo kuingiza mamilioni ya kura feki katika kila uchaguzi, sasa kura feki ni jambo la kawaida"- Lissu. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatano Februari 12, 2025.
0
5
17
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
2 days
RT @HecheJohn: Asanteni sana Tarime mjini. Tukutane Sirari, Tarime vijijini. #noreformsnoelection
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
282
0