![HekiMa Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1678817283840303104/e6iDVynR_x96.jpg)
HekiMa
@nhekima
Followers
1K
Following
6K
Statuses
22K
@AbroadTanzania MALEMA ATASABABISHA WAZUNGU WACHUKUE TENA NCHI, SIJAJUA KWA NN AMEKUWA NAMNA HIYO HATA WENZIE WAMEANZA KUMKATAA
0
0
0
@godbless_lema Ni kweli Mh Lakini shida ndizi zinazotufanya kugundua njia mbadala wa kutatua kero kama hizo, mfano kwenye suala la taa siku hizi kuna taa za auto detect kama mtu anaingia ndani au anapita katika korido zinawaka Akisha pita inazima wamiliki wasio shida kutumia wataalamu waliopo
0
0
0
@MariaSarungiFan SA wameshitaki Israel ICC hakika jamaa atatunyoosha, nimeangalist ya mashirika na taasisi zinazosaidiwa na USAID kila mahali panagusa baada ya mwaka tutatafutana
0
0
0
@ChiefLumanyika Marais wa Rwanda na Burundi walipinduliwa wakitokea Wapi?? walienda kufanya nini?? Mtu lazima ajifunze kutokana na Makosa ya wengine.
0
0
2
@zittokabwe Wangeenda kufanyia kukule Congo sasa msiba uko Congo maombolezo wanafanyia Dar hii haikubaliki
0
0
0
@Phbhimself Umesema kunamlango wa kuingilia lakini hakuna wa kutokea je hao 30,000 walitokaje kwa kutumia mlango gani
16
2
30
@Hb_cbe_2020 @rwabudugu @CrownMediaTZ @Salym @OfficialAliKiba @juma_ayo @JescaMhagama @jemedarisaid @HansRafael14 @BalozkemboK @Bukayoshafi77 @ChiefLumanyika @EsirEid @Kipanga1986 @HumphreyKi94920 @kigogo2014 @mgangajoh @GasNet07 Mwemye akili umeishia kutukana wana habari,
1
0
0
@Hb_cbe_2020 @rwabudugu @CrownMediaTZ @Salym @OfficialAliKiba @juma_ayo @JescaMhagama @jemedarisaid @HansRafael14 @BalozkemboK @Bukayoshafi77 @ChiefLumanyika @EsirEid @Kipanga1986 @HumphreyKi94920 @kigogo2014 @mgangajoh @GasNet07 Hao watu wako hata uliwatetea ni toza Kodi tu, umetukana combo cha habari kwa ujinga wako wa kuto jielimisha
1
0
1
@Hb_cbe_2020 @Kipanga1986 @rwabudugu @CrownMediaTZ @Salym @OfficialAliKiba @juma_ayo @JescaMhagama @jemedarisaid @HansRafael14 @BalozkemboK @Bukayoshafi77 @ChiefLumanyika @EsirEid @HumphreyKi94920 @kigogo2014 @mgangajoh @GasNet07 Mtoza ushuru na mtoza kodi kunatofauti,
1
0
0