![MUHASSO Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1303098059530932224/7ZMW4hwZ_x96.jpg)
MUHASSO
@muhasso1
Followers
3K
Following
4K
Statuses
2K
Official Account For @muhimbiliuniver Muhimbili University of Health and Allied Sciences Student's Organization (MUHASSO). Our People , Our Stand 💪🏻
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2018
RT @muhimbiliuniver: MUHAS has signed MOU with Sapienza University of Rome, Italy, during the IV Tanzania-Italy Business and Investment For…
0
5
0
RT @MUHAS_Alumni: 📢 ⚠️ SCHOLARSHIPS ALERT ⚠️ 📢 📌APPLY BY MARCH 2025 Apply for Masters and PhD Scholarships from different countries and u…
0
26
0
MABORESHO YA UWANJA WA VOLLEYBALL NA NETBALL CHOLE YAMEANZA Katika kutekeleza sera za michezo kupitia Serikali ya Wanafunzi (MUHASSO), maboresho ya uwanja wa michezo kwa Volleyball na Netball yameanza rasmi Chole. Hatua hii inalenga kuboresha mazingira ya michezo . @Tanfootball
2
2
11
Congratulations MASANDAWANA FC @muhimbiliuniver @MUHAS_Alumni
#muhassoCup2025
#Playsmart_chaseVictory
0
1
7
Congratulations SOCCER AID TEAM @muhimbiliuniver @MUHAS_Alumni
#muhassoCup2025
#Playsmart_chaseVictory
0
0
3
AMAZULU — Unstoppable and dominant! Topping the group stage is just the beginning. Keep the fire burning @muhimbiliuniver @MUHAS_Alumni
#muhassoCup2025
#Playsmart_chaseVictory
0
0
4
RT @myhealthjogging: wale wa Campus tunakutana mwembeni karibu na villa, wale wa chole basi ni pale getini. Halafu unajua nini?😁 Wote tutak…
0
2
0
RT @TamsaMuhas: TAMSA-MUHAS is excited to offer an exclusive Graphics Design Training Program aimed at equipping passionate individuals wit…
0
1
0
RT @muhimbiliuniver: Mkuu wa Chuo MUHAS, Prof. David Mwakyusa, ametembelea MUHAS kwa lengo la kujitambulisha na kufahamiana na uongozi wa C…
0
3
0
MWAKA WA TANO WATEMA CHECHE, SOCCER AID WAPIGWA 5-0 MSEMAJI WAO Ndug KALOKOLA ,ALIA NA WAAMUZI 😳⚽ Mwaka wa Tano wamefanya kweli! Kichapo cha 5-0 kimewaliza Mwaka wa Kwanza, huku dimba la Ebola Stadium likigeuka uwanja wa shangwe kwa washindi 🏆. @muhimbiliuniver
0
0
9
REFUNDS UPDATES💸💰 _____________________________________ 📍 4 February 2025 Siku ya leo Wizara ya Mikopo&Ruzuku imefanikisha malipo ya Refund Batch 1 kwa wanufaika wanaotumia mfumo wa DiDiS ambao Malipo Yao yalikua bado hayajafanyika✍️✍️ @muhimbiliuniver @HESLBTanzania
1
0
3
RT @CheveningFCDO: The #Chevening interview period starts at the end of this month! 🌟 If you're invited, you'll be asked to upload two re…
0
62
0
HUDUMA ZA DHARURA CHOLE ZABORESHWA Serikali ya MUHASSO kupitia Wizara ya Afya leo imekabidhi First Aid Kits kwa viongozi wa makazi ya Chole ili kuhakikisha huduma za dharura zinapatikana kwa haraka. Kila kit ina vifaa tiba na dawa muhimu kwa msaada wa haraka. @muhimbiliuniver
0
2
12
MUHASSO CUP 2025 Michuano Bora Zaidi ya Vyuo Vikuu na Kati Nchini Tanzania @FKihamu @CloudsMediaLive @AliKamwe @ahmed__ally
0
2
33
CPL DERBY 😁 Leo ilikuwa moto ndani ya Ebola Stadium, ambapo Mwaka wa Tatu na Mwaka wa Pili walikabiliana kwenye derby kali . Mechi ilikuwa na kasi, chenga, na mashuti, lakini mwishowe hakuna aliyeweza kutikisa nyavu . Mpira mwingi umepigwa,Magoli hakuna #MUHASSOCUP2025
0
1
5