![HESLB Tanzania Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1567449756305182726/QIXAZfTH_x96.jpg)
HESLB Tanzania
@HESLBTanzania
Followers
20K
Following
60
Statuses
928
Official Twitter Page of the Tanzania's Higher Education Students' Loans Board (HESLB), 4th Floor, PSSSF Buidling, Makole Road, P.O Box 984, DODOMA - Tanzania.
Dodoma, Tanzania
Joined April 2015
Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA? MFICHUE! Tutumie majina yake kamili, chuo alichosoma, kampuni au taasisi anayofanyia kazi: 1. Barua pepe (email): fichua@heslb.go.tz; 2. Ujumbe wa WhattsApp: 0739 66 55 33; 3. Piga simu: 0736 66 55 33 (Saa 2:00 asubuhi – saa 11 jioni); 4. Tembelea halafu bofya e-Mrejesho; na 5. DM (Direct Messages) kwenda kwenda Instagram, X (zamani Twitter) au Facebook kwa jina la ‘HESLB Tanzania’ LILILOTHIBITISHWA na lenye ‘blue tick’. #Fichua KuwaHeroWaMadogo
527
99
615