mbonimpaye_n Profile Banner
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko Profile
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko

@mbonimpaye_n

Followers
9K
Following
95K
Statuses
29K

| A Leader | Seventh Day Adventist | A Friend | Politician & Public Figure | “In liFe No One is Ignoring you. There just Waiting For you to have Money”

Tanzania| 🇹🇿
Joined July 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
5 years
. Naitwa #MBONIMPAYE #NTIYONZA #NKORONKO, ni mtia NIA wa #UBUNGE jimbo la #SUMBAWANGA #MJINI, Mkoa wa Rukwa kupitia Cha cha Mapinduzi katika Nchi ya Tanzania, Nchi ya #UCHUMI wa Kati. 🔥🔥 NATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE jimbo la SUMBAWANGA MJINI leo tarehe 09/7/2020.
Tweet media one
81
50
536
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
2 hours
@INFLUENCERjr Hahahaaa umefuatilia hili sana
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
2 hours
@LilianLevelian Hii kubwaa sanaa
0
0
1
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
2 hours
Tukumbushane jambo dogo sana, Iko hiviiiii kwenye hii dunia jifunze na ujifunze tena, “Kuuliza kabla huja muhukumu mtu jaribu kujua kwanza ni mzima au yuko salama, tuna mengi tunapitia na hatuwezi kuyaweka Publick au kumuhadithia kila mtu ila yanabaki kuwa siri yetu na MUNGU”•
0
5
12
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
3 hours
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
14 hours
@FMusilimu @KijangwaIrene Chagua moja tuuu 😛
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
16 hours
@FMusilimu @KijangwaIrene Mkuu na my dear havikai pamoja
3
1
1
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
16 hours
@urbanvintagedsm Asante mkuu
1
0
1
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
21 hours
@TheRealEkiswaga Tamaaaaaa
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
RT @MalemboLE: Aliniambia OA upate watoto mapema, sikia rafiki usiingie kwenye ndoa kwasababu ya kupata watoto tu, watoto ni Neema unaweza…
0
47
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
@franklin_tissa Korosho
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
Ukiomba baraka kwa Allah ikichelewa tofauti na mategemeo yako, omba uvumilivu na ukiipata shukuru na uitumie kwa hekima na busara, ondoa majivuno mpe MUNGU Utukufu kwani ndiye anayetoa, anayebariki na kuinua watu wote bila kujali umri, rangi, mfupi, mrefu, mnene au mwembamba•
3
15
93
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
@prossoff Hawajatelekezwa…….Wengine ni wajuaji mnoo bora kukaa mbali nao.
0
0
2
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
@SophiaKessy Dada poleni
1
0
1
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
1 day
0
0
0
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
2 days
Oya washkaji muwe na usiku mwema•
2
0
12
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
2 days
HAPPY SABBATH•❤️
0
0
3
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
3 days
Si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo lakini wakati na bahati huwapata wote. Mhubiri 9:11 Maisha ni mzunguko wa kupata/Kukosa.
0
2
12
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
4 days
I'm so proud of you………………………….. Most people don't know your story, your struggle, your hustle, and your prayers. Most people don't know you're fighting a silent battle. If you don't hear this often, just know that I'm proud of you. 🫂
1
5
12
@mbonimpaye_n
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
6 days
@MalemboLE Kaka ugali tunakula lini????
1
0
4