![Hancy Machemba Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1806274846009040896/XTLMQRVR_x96.jpg)
Hancy Machemba
@hancymachemba
Followers
133K
Following
109K
Statuses
153K
Co Director Nasar General Supplies, Mkulima, Mfugaji TANZANIA KWANZA πTeam CHELSEA
Dsm
Joined February 2012
RT @JrMalcolm88: @hancymachemba Tuna changamoto sana second half, hatuna Subs kabisa, tofauti na Mavambo πΉ, akina Barua, Mukwala na Mutaleβ¦
0
1
0
Wakipata wao draw wanageuka waimba taarab. Ila simba ikipata draw sasaπππ
Unaposhindana siku zote lazima utambue kuna wakati utashinda, utashindwa na mtatoshana nguvu. Huwezi kushinda kila siku labda kama unashindana mwenyewe. Kosa sio kuanguka, kosa ni kushindwa kusimama tena. Msimu uliopita tulipata sare mbili, msimu huu tuna sare moja. Ligi ni safari na bado tunaendelea na safari. Ndege mmoja aliyepo bandani ni wathamani, lakini tunapaswa kupambana kupata ndege wengine waliopo porini.
0
0
4
@HemedDaud15910 @teammodewji @simbascfans__ Kwanza umenipeleka kwenye mashabiki wa vyura πππ
1
0
2
@HancyFame πππππ Yaani hata magoli ya wazi ujikoseshe kwa makusudi kwaajili ya game zijazo ngumu?
1
0
0
RT @BERNARDKOMBA: @hancymachemba Tupo pamoja kiwango kibovu, ushambuliaji ni tatizo kubwa Simba
0
1
0
@DMsangii Unarelax na kukosa magoli ya wazi kabisa? Hakuna excuse ni ubovu tu wala sio kingine
2
0
1
@michaelfanuel22 @Eng_ZSamsoni Yaani kutunza energy hata kwenye magoli ya wazi kabisa hakuna kufunga?
0
0
0