HemedDaud15910 Profile Banner
Hemed Daud Profile
Hemed Daud

@HemedDaud15910

Followers
481
Following
23K
Statuses
2K

Joined April 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HemedDaud15910
Hemed Daud
7 hours
Tukutane hapa 14/2/2025β™₯οΈπŸ“Œ
Tweet media one
0
0
1
@HemedDaud15910
Hemed Daud
7 hours
@hancymachemba @teammodewji @simbascfans__ Pole πŸ˜πŸ˜βš½πŸ™βœοΈπŸŒŽ
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
7 hours
@Sylvest85787141 ,πŸ™πŸŒŽβœοΈ
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
10 hours
Mnaonidai nitawaunganisha na ninao wadai ili mlipane vzr maana usumbufu stakiπŸ˜‚ "akili za kukaa mbiwa changanya na zako"βœοΈπŸ“Œ
0
0
2
@HemedDaud15910
Hemed Daud
20 hours
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
1 day
ZINGATIA kuchepuka ni kujipotezea Mda,kujivunjia HESHIMA na kukuongezea cost za MAISHA.focus na mtu wako mtafte hela kwa Ajili ya WATOTO wenu.hakuna tuzo ya UZINZI_✍️ Sjui umenielewa? Nb:Uzee Una Ukiwa na Mali zako hata kidogoπŸ’ͺ
0
0
1
@HemedDaud15910
Hemed Daud
3 days
@ayubu_madenge Maisha haya
Tweet media one
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
5 days
@mkandamizaji Watoto 2000 wameiharibu sanaa mda wote stori ni mapenzi na umbea ningeomba kujiunga iwe above 30 yrs itapendeza πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœοΈ
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
5 days
Mtu wa kwanza kutumia pesa alitoa wap chenjiπŸ™βœοΈIjumaa Kareem
0
0
2
@HemedDaud15910
Hemed Daud
6 days
Kufosi sanaa ndo huku dah πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Asante nipate nguvu mwilini
Tweet media one
0
1
2
@HemedDaud15910
Hemed Daud
6 days
"Success is not the key to happiness, Happiness is the key to success,if you love what your doing,you will be successful "πŸ’ͺπŸ™βœοΈ
0
0
1
@HemedDaud15910
Hemed Daud
8 days
Tafta pesa kazini hawaendi saa kumi na Moja alfajiri aisee🏧🌎✍️
0
0
3
@HemedDaud15910
Hemed Daud
9 days
Nimewatumia wanafamilia kila Moja laki Saba na wameshukuru sanaa nasubili Waulizie nani kauliza shamba la urithi wetu πŸ˜„πŸŒŽπŸ“Œ
0
0
1
@HemedDaud15910
Hemed Daud
11 days
@zittokabwe Ila Kuna mda unazingua sanaaaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ tulia bas
0
0
1
@HemedDaud15910
Hemed Daud
12 days
@Sativa255 mdogomdogo wazee wa kubeti tunakuelewa πŸ™βœοΈ
Tweet media one
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
12 days
Siasa siwezegi kabsa Acha niharibu akili karibu nipo hapa @Liquidbar TIA Sina namna 🏧 weekend Bora🍻🍻🍻 tu
Tweet media one
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
12 days
Ukiona kila mtu anapambana na Wewe kukurushia mawe,usijifariji kwa kusema kwamba,"mtu wenye matunda ndio unaopigwa mawe"maana Kuna miti mingine hupigwa mawe kwa sababu Ina nyoka,Tena wengine wenye sumu kali.hivyo wanarusha mawe kwa sababu ya usalama wao.Mungu hamtupi mja wake✍️
0
0
0
@HemedDaud15910
Hemed Daud
12 days
@sumademau @fumbokhanJr πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
0
0
0