![Team MoDewji Simba Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1145252977311145984/v8xURXco_x96.jpg)
Team MoDewji Simba
@teammodewji
Followers
525
Following
8
Statuses
9
MABINGWA BACK2BACK
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2019
Usajili muhimu wa eneo la ulinzi, Gadiel Michael, mchezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) amesaini mkataba wa miaka miwili kuchezea timu yetu ili kuwezesha kuleta makombe na mafanikio zaidi. #NguvuMoja
1
0
8
RT @SimbaSCTanzania: Ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kucheza eneo la kiungo, kwasasa akiwa sehemu ya wachezaji wanaounda kikosi cha timu…
0
114
0
RT @moodewji: Watu wenye nia mbaya: Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!
0
501
0
RT @SimbaSCTanzania: Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amesaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea TP Mazembe ambapo alikuwa mmoja…
0
78
0