Line Walker Profile
Line Walker

@michaelfanuel22

Followers
28
Following
547
Statuses
599

Truth is what motivate me, I like being honest, work hard anda work smart. Christian, love God and believe in traditional family values

Joined May 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@michaelfanuel22
Line Walker
10 hours
@Eng_ZSamsoni @hancymachemba Game ilishaisha kipindi cha kwanza na tulicheza mpira mzuri sana, kipindi cha pili unafanya game management, tunza energy yako kwa game zifuatazo
1
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
19 hours
@Labella_Mafia95 Huyu nilishawahi kumuona live kabisa, narudia tena,Kwanza kana mailing mdogo kama katoto, pili hamna nyash
0
0
4
@michaelfanuel22
Line Walker
2 days
@Labella_Mafia95 Tusimame naye kwa kuhamasisha kuua watu? ,kupigania haki sawa za kiuchumi na ardhi hapo sawa, lakini sio kuua watu
0
0
4
@michaelfanuel22
Line Walker
2 days
@EVASrebecca @Rothmus Its like fingering your self,smell it, and then denying its not the smell of your ass
0
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
2 days
@Captainpilo7 Unapitia magumu,ila kujiua sio ufumbuzi, muda ni tiba tosha sana, ndani muda utasahau yote na maisha yataendelea kama kawaida
0
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
2 days
@MALLY2809 @jwise017 Redistribution ni sawa, ila sio kutamka waziwazi utauwa watu, hiyo sio sawa
0
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
4 days
0
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
4 days
@mlinganya @Ntiliyo57 @DullahOne1808 @kaji_sijo @Hussain_mbwana Hata sisi tunajifunza kusoma kiswahili, na Wakristo nao wanajifunza Bible hata kama imeandikwa kiswahili, quran ni classic au medieval arabic, kama ilivyo ngumu kusoma english ya kina Shakespeare na ya sasa,
0
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
4 days
@mlinganya @Ntiliyo57 @DullahOne1808 @kaji_sijo @Hussain_mbwana Sina haja ya kukujua kukuleza ukweli kwamba quran ni arabic,
1
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
4 days
@DullahOne1808 @kaji_sijo @Hussain_mbwana Vyote sawa,qoran ni kiarabu
1
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
5 days
@anuskills3 Simba tu anatisha, huwez kuwa laini laini, mboga mboga wengi wako yanga, kuna video humu mmoja anacheza kwenye kitchen party
1
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
5 days
@classmonitor22 Tunakula tu hivyo hivyo,tuliambiwa dawa ya tumbo
0
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@swahilitimes Huu ni upendeleo
0
0
0
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@MariaTshe Hela yangu,halafu nihangaike kukulidhisha, nikilidhika mimi inatosha, ukitaka kulidhika nawewe lipia
2
0
12
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@EduTalkTz Elon katangaza nafasi ya kazi huko, hataki uzoefu, hataki kujua umesoma chuo gani au hata kama hujasoma kabisa, we tuma kazi yako bora katika coding
0
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@EsirEid Kwa hiyo ukiwa muislam kwenye nchi ambayo sio ya kidini,mafunzo ya kiislam hayakuhusu!!?
2
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@Labella_Mafia95 Ramaswamy hayupo,alishatoka, anataka kugombea governor jimbo la Ohio
0
0
1
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@Djenyuki @mangekimambi Mtu yeyote anaye support sera za democrats hayupo sawa, children mutilation, USAID kusambaza sera za ushoga, kaja kukomesha illegal migration, kupunguza wizi na matumizi ya serikali, mwamba kanyoka sana
0
0
2
@michaelfanuel22
Line Walker
6 days
@EsirEid Mnajua lakini anachokifanya Musk ndio alicho ahidi Trump kwenye campaign zake, ana abaraka za asilimia kubwa ya Wamarekani, Democrats wanapiga tu kelele mirija yao ya deep state inafungwa
0
0
1