africaneddo Profile Banner
M N G E P A πŸ‚ Profile
M N G E P A πŸ‚

@africaneddo

Followers
63
Following
335
Statuses
635

ADDICTED AND PERCEPTION

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
11 hours
Maisha hayaeleweki yule mchumia juani analia kwenye mvua sikuhizi..✍🏿#eddotellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
0
0
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
2 days
@ClaraAloyce Shemu wangu tajiri
1
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
2 days
0
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
2 days
0
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
5 days
Natamani wajue tumekosa leo ila hatutaichoka kesho..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
16 days
Siku shukrani ya punda ikibadilika mtamuona hana msimamo..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
16 days
Usichanganye kati ya kuona malengo au kumpenda maumivu yapo hapo..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
16 days
Kwenye zama hizi kuna watu bado wanadhani AMANI ni haki. Such a stupid mindβ€¦βœπŸΏ#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
21 days
Mvua inayonyesha kwenye shamba la mwenzio halikupi wewe mazaoβ€¦βœπŸΏ#eddo_tellerπŸ‚ @tonytogolani
0
0
0
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
22 days
Mzee wa makamo alisema linahitajika tabasamu moja la masikini ili matajiri waseme furaha sio pesa..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
23 days
Kumbe alihitaji mwezi mmoja tu kunionesha ile miaka mitano haikua na umuhimu sana kwa yule..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
1
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
25 days
Future zetu zingetegemea maneno yenu mngetuletea sana usenge duniani..✍🏿#eddo_teller @ClaraAloyce
0
1
2
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
1 month
@ClaraAloyce Jinenepee shem wangu😁
0
0
0
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
1 month
@Wala_Tz Afu inbox uje useme nimepost kwasababu mhehe mwenzangu tu ila hamna tu muleπŸ˜‚
1
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
1 month
@elonmuskADO Mkaaa its what we call in TANZANIA
0
0
0
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
1 month
Nilimpenda kiasi cha kwamba kipindi anachimba kaburi langu nilijali kuhusu vidole vyake visiumie..✍🏿#eddo_tellerπŸ‚ @ClaraAloyce
0
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
2 months
Huwenda ni kweli hatuvai sawa na bwana ako au kaka yako nyumbani ila chakula chenu pendwa ndo wanachokula wanaotutegemea kila siku..✍🏿#eddo_teller
0
0
1
@africaneddo
M N G E P A πŸ‚
2 months
Ni kweli sijawahi kuiona pepo ingali niko hai ila huyu binti niliyenae nadhani anapajua nishakua mwenyeji..✍🏿#eddo @ClaraAloyce
0
0
0