Clara.Kitty💫🇹🇿 Profile Banner
Clara.Kitty💫🇹🇿 Profile
Clara.Kitty💫🇹🇿

@ClaraAloyce

Followers
3,964
Following
1,687
Media
630
Statuses
29,771

Each One, Teach One!//Insurance officer// #DadaBima //Wakala LATRA// @SimbaSCTanzania fan//God is Able🙏

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Watu wengi hawajali sana kuhusu wewe, wanajali tu kile unachoweza kutoa au kuwafanyia. Bali ni wewe unaepaswa kujali kuhusu wewe.
12
47
157
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Utampa nani tuzo hapo?
Tweet media one
540
69
1K
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
8 days
Where are you my hubby? 🙃😂😂
Tweet media one
116
36
790
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Mfano umepata offer mbili (2) za kazi, moja Kigoma mshahara ni 1.3M na nyingine Dar mshahara ni 900k Utachagua wapi hapo?😌
250
41
598
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Hii sheria itiliwe mkazo tunapoteza Taifa la kesho 🙌💔
Tweet media one
108
72
597
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
9 days
Nasoma comments
Tweet media one
271
23
488
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 days
Huu ni Ubunifu au anazingua?
Tweet media one
442
24
526
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
10 days
Kiswahili cha neno Document ni nini?
Tweet media one
157
20
442
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
24 days
Nyie kumbe Maokoto ya Elon Musk ni ukweli bwana 😊🤗😜
Tweet media one
53
28
346
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Jamani samahani hivi Fridge linatakiwa kukaa Sebureni au Jikoni? msaada jamani please 🙏
96
31
348
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Hivi kwa mfano ukapata hela unataka kujenga nyumba hapa Dar es salaam na pembezoni mwa Dar utajenga wapi? 1.Kigamboni 2.Kibaha 3.Bagamoyo 4.Mbagala 5.Gongolamboto
100
34
344
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
18 days
To my future husband😋😂
Tweet media one
Tweet media two
52
35
322
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Asante mwenyezi Mungu kwa hatua hii ya leo 🙏🎓 Asante The Institute of Finance Management (Ayefwemu,)🙏🎓
Tweet media one
Tweet media two
59
43
311
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
30 days
Jiran part 2 😂😂
Tweet media one
119
20
293
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
23 days
Una nini cha kumshauri huyu kijana?😂
Tweet media one
62
25
288
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Utatoa nini? 😋
Tweet media one
130
35
286
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Ni kitu gani ambacho kila ukifanya unasema hii ndio mara ya mwisho?😂😂
77
35
273
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Akili za Wanaume 10 ni sawa na Akili za Mwanamke mmoja tena MLEVI... Bisheni kwa Hoja 😂😂
98
46
264
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
26 days
Happy Sunday fam 😊
Tweet media one
64
29
265
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Nasoma comments 😂😂
Tweet media one
63
32
259
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 days
Acha niingie jikoni sasa 🙂😅
Tweet media one
50
20
281
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Utaona mengi hapa duniani lakini hutaona hata siku moja Mwanaume akisema "Nina Mtu" 😅😅😅
60
22
255
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Utatoa nini hapo?😜
Tweet media one
147
28
248
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Hivi ndivyo mwanaume anatakiwa kuongeleshwa na sio kufokewa kama mtoto mdogo 😊
Tweet media one
36
30
249
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Jirani yangu akiwaga na njaa anasumbua sana😟😀😀🙌
Tweet media one
49
30
244
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Hii picha ina maana gani?
Tweet media one
39
31
241
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Poteza Smartphone uanze kutumia kiswaswadu, ndio ujue uko na marafiki wanne, MAMA AKO, TIGO, UTAPELI NA TCRA (Usalama mtandaoni)😂😂😂😂
21
43
240
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Ni mtihani gani ulikua unakutoa jasho namna hii?
Tweet media one
66
26
232
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Menu ya leo Jumapili utatoa nini hapo?😜😋
Tweet media one
94
32
210
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
8 months
Leo nimetoka kukamilisha usajili ili nianze masomo hapa Chuo IFM 🙏 Ila kuna mtu kaniambia niwe makini sana kwani kuna nini?🤔😞
Tweet media one
29
21
214
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
16 days
Ukipewa Laki 2 umnunulie Mpenzi wako chochote na chenchi inayobaki ni yako, Utamnunulia nini.................?😂😂😂
92
25
202
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Alooo 😄😄
Tweet media one
36
26
190
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" we ulidhani ni sababu anavuta Bangi 😅😅😅
29
44
177
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
"Wanaotaka kwenda Break waende Nibaki nawatu wanaojua wamefata nini shule "😂😂 Tuambie shule gani ilikua ina walimu kama hawa?😂
Tweet media one
28
24
170
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Ukiona unasali kwa kingereza basi jua hayajakufika shingoni 😂😂
36
25
163
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Na test mitambo..☺😜 Otea ni CHUO gani?
Tweet media one
61
18
164
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Kwanini iungue Ijumaa lkn?😰
Tweet media one
27
24
162
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Ni mkoa gani ukichelewa kuoga ikifika jioni ndo basi tena?😂
49
30
161
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Leo Zuchu kapendeza sana tangia Asubuhi namsifia, ila sasa gauni limekuja kuharibu kwa kutatuka hapo chini 🙌😔 Angalia video chini 👇
Tweet media one
13
7
153
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Dakika za jioniiiiii 😂😂😂😂
Tweet media one
29
18
148
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Ukiambiwa utoe kimoja hapo utatoa nini?
Tweet media one
92
10
146
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Wale vijana wenzako unaowadharau kule kijijini kwenu kwa kua umewazidi Elimu na Fedha ndio watakao kuchimbia kaburi siku ukifa.. Be Positive.!!
Tweet media one
16
44
147
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Binti wa miaka 19 huko South Sudan anaumiza vichwa vya wanaume matajiri wawili sababu ya uzuri wake ulio pambwa na urefu wa futi 7 na weusi wa kuvutia. Mwanaume wa kwanza katoa Million 51 ng'ombe 150. Wa pili yuko mbioni kutoa ng'ombe 350 gari Toyota V6 pamoja na kujenga nyumba.
Tweet media one
51
16
147
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
9 months
Tusisahau kusali kila tutokapo maan ajali ni nyingi sana 😫🙏
Tweet media one
16
14
138
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
9 months
Ikiwa mungu amenichora kwenye vitanga vya mikono yake na kuta zangu zipo mbele yake binadamu ni nani hata nimuhofu? ni nini mpk nimuogope? Adui ni nani mpk nijifiche? yy aliye upande wangu ameishasema nisiogope Assurance yake ndio Insurance yangu I am blessed beyond the blessings
Tweet media one
13
73
134
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 days
Hii mboga inafaa iliwe na chakula gani?😋
Tweet media one
Tweet media two
27
12
135
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
10 months
Tukiwaambia BIASHARA ina tuvitu vitu muwe mnatuelewa😂😂😂 Sijui hali ya huyu mfanya biashara ipoje kwa sasa 😩😩😩
Tweet media one
14
12
125
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Tafuta hela, kula vizuri, vaa vizuri, maswala ya kua tajiri huo ni uongo wewe mwenyewe si unaona hali ilivyo?😂😂
22
39
126
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Siku ukipata unachostahili ndio utajua vyote ulivyokuwa unavililia ilikua ni HOFU tu ya kuchelewa ila havikua vyako
11
40
125
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Fundi why lkn?😂😂
Tweet media one
31
12
122
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Keki bado ipo karibuni sana ndugu zangu 😋😋
Tweet media one
27
15
122
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Dear me, I will make you proud in 2024. I promise 🙏😍 Naombeni mualiko wa mwaka mpya🙏🙏😀
Tweet media one
39
29
118
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Mimi kama sio bando ningekua nanunua gari ya pili huu mwaka 😅😅 Wewe je.....???
22
25
120
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Wakali wa Location hapa ni wapi?
Tweet media one
23
9
120
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Kuna mpya gani kuhusu huyu dada mbona ana trend?🤔
Tweet media one
16
13
117
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Kama mwanamke wako anafanya kazi HILLWATER Basi usimpe hela ya kuku na ta vinjwaji kwaajili ya Xmass wameshapewa leo😄😄
18
25
113
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Chochote unachofanya fanya kwaajili yako mwenyewe, usishindane na mtu yoyote bali shindana na jana yako ✍
13
33
112
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
27 days
Kuomba ni aibu ya kwanza, Kunyimwa ni aibu ya pili, Kutangazwa ni aibu ya tatu, Jifunze kujipambania.✊
13
29
111
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
8 months
Huyu mdudu anaitwaje na anamadhara gani? msaada kwa anaejua 🤔 Kila siku anakuja apa tunaposhinda naogopa jmn 🙏😔
Tweet media one
41
15
109
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Ni chakula gani hata ukiwa tajiri kiasi gani huwezi acha kula?
38
22
109
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Kama bado upo kwa wazazi, USITOKE! 🙌
21
15
106
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Hapa ni wapi?
Tweet media one
32
17
108
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Mpenzi wako wa kwanza kabisa ulimpata ukiwa darasa la ngapi?😜
32
17
107
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Ukiachana na Ndizi, na Nanasi ni tunda gani lingine ambalo halina mbegu? 🤔
31
23
105
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Umerithi nini kutoka kwa baba ako?😂😂
43
20
106
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
16 days
Mara ya kwanza kwenda kwenye geto la rafiki ako ulishangaa kuona kitu gani? 😂😂
27
9
107
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Kuna watu wakiona upo gizani wanatoweka, wakianza kuiona nuru wanarudi kwa kasi. Wasamehe lkn usiwaamini ✍ Good morning 👋
19
39
101
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
15 days
Ila hii ndoa inavituko sana 😂😂😂
Tweet media one
8
11
104
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Iphone or Sumsung?
Tweet media one
Tweet media two
34
16
102
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Leo ndio nimeamini mapenzi yanauma, i have never experience before😞💔🚮
38
30
95
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Hii kitu ni zaidi ya pizza😋😋 😂😂
Tweet media one
23
20
99
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Huku Iringa hili pilau ni Buku tu. 😋😋 Visit IRINGA 👋
Tweet media one
23
7
99
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
8 months
Usisahau kuwadanganya watu wanaouliza personal issues zako🙏✍ Kila mtu mpee story yake wakikutana wabishane mpk wapigane 😂😂😂
16
31
90
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Umevaa nini mguuni?
Tweet media one
24
18
91
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
My Twitter Interaction Circle ➡️
Tweet media one
19
23
91
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
17 days
Msaada jamani nisije aibika huku na vitoto vya English medium 😂😂
Tweet media one
18
8
94
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Afu ukute kweli 🙃😂
Tweet media one
25
21
89
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Ila wanaume mbigu yenu ngumu sana sidhan km inaingilika 🚮🙌
Tweet media one
22
12
88
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
ZIKI ni wakina nani na wanafnya kazi gani hapa Tanzania? msaada jamani please 🙏
Tweet media one
8
18
89
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Hii nyama ya Sungura ni Tamu?🤔
Tweet media one
21
22
87
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Ukipewa Milioni kumi uvunje mguu wa mpenzi wako unaweza? 😂😂😂
43
6
87
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Hivi kiswahili fasaha ni Mjane au Mgane?
Tweet media one
22
6
88
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
9 months
Boss: Mbona sioni jina lako kwenye list nani kakuita kwenye hii kazi? Mpee boss jibu moja 😂👇
Tweet media one
16
17
85
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
7 months
Unalalamika mbona Mungu hajibu maombi yako, Mbona ww hujibu text za watu? Malipo ni hapa hapa duniani 😂😂😂
17
25
87
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
8 months
Kumcha bwana ni chanzo cha maarifa, tena ni jambo lenye thamani, bali wapumbavu hulidharau hekima hii.✍
5
29
84
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
Umesoma shule gani kati ya 1, 2 au 3?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
37
13
86
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Huwezi ukawa single kila siku.. Amka asubuhi vaa vizuri nenda mahakamani subiria kwa nje.. Watu wanaachana kila siku.. Utakuja kunishukuru baadae 😂😂😂
17
19
83
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Kuwa mwanamke ni kazi sana, assume unampenda mkaka na huwezi kumwambia unateseka tu moyoni 😜 Au wenzangu huwa mnafanyagaje?😂
Tweet media one
Tweet media two
11
14
85
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
29 days
Eti hii ndio wanaita chai nzito au nitafute hela tu? 🤔 Anyway utatoa nini hapo?
Tweet media one
25
7
82
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
4 months
"Maendeleo hayana chama..✍" Hongereni sana watani 💚💛
Tweet media one
13
12
82
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
6 months
Jioni ya leo.. Mchanganyiko wa mayai, Nyama ya kusaga, Njegere, Karoti, Hoho na Nyanya 😋😋
Tweet media one
26
23
83
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Hivi mlisema ukiachwa kwenye mapenzi inafaa ukae mda gani ili uingie kwenye penzi jipya? 😞
26
11
82
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Mbn sijakuona na mm nilikua apo?😂
Tweet media one
@Gaspinho15
𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮
5 months
Nitafute my wangu Mmoja niende naye Vacation.🙂🔥
Tweet media one
9
10
83
23
12
81
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
3 months
Nilihama single room nikaenda One bed room,🤗wacha jioni nirudi toka job niingie kwa nyumba sikuona kitanda💔😱weeeh si nika faint time nilikua naingizwa kwa ambulance ndio nikakumbuka kitanda kipo kwa bed room 😂😂Hii mambo sijazoea kbsa 😆😆
Tweet media one
13
28
83
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Hivi umri wa kuolewa inafaa kuwa range ya miaka mingapi mpaka mingapi?
17
13
81
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
5 months
Ni DHAMBI gani ikifutwa we ni MBINGUNI moja kwa moja bila ubishi? 😂 Twende kazi.. 👇
23
11
81
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
2 months
Tafiti zinaonyesha "Wanaume walio oa wanawake wa darasa la saba hufurahia ndoa zao kuliko walio oa wasomi " Je ni kweli kuhusu tafiti hizi?
21
16
79
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
1 month
Je unaweza?
Tweet media one
25
10
79
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
21 days
Kwanini biriani inaliwa Ijumaa? 😋
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
17
80
@ClaraAloyce
Clara.Kitty💫🇹🇿
9 months
Hali yangu ya sasa mimi kama customer🙌 😂😂😂
Tweet media one
7
20
81