![Wala Tv Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1872526501423222784/ELD6_WgK_x96.jpg)
Wala Tv
@Wala_Tz
Followers
321
Following
4K
Statuses
488
@swahilitimes Mnatunyima kazi baadae mnatupeleka dawati kisa hatulei watoto wakati kazi mmewapa mama zao
1
0
2
@privaldinho When a Napoli player scores a goal and the ball is immediately taken to a bag, it's because the match ball is being replaced with a new one, and the scored ball is typically collected to be auctioned off or given as a fan reward by the league or club; this is a common practice
0
0
6
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Kaka huwezi kumiliki adsence kama Huna youtube membership alafu youtube wanamalipo ya aina moja tu yalize adds basi izo stiker sjui nini ni mambo ya Meta adds kwa kina tiktok sio huku rudi uka google
1
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Bro let cool afu nikwambie fatilia Meta na Google biashara zao wanavyo fanya hope utanielewa nini namaanisha
0
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Kifupi bro huijui biashara ya online hauna tofauti na watu wanao soma theory ya business bila practice then wakija kitaa wanapigwa gap na Wakinga
0
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Sorry kama itakuwa lugha sio nzuri but inaonekana hujui kuhusu Mitandao hasa hii ambayo inatumia Google adds. Okay wanatumia njia iyo kujua watazamaji ni wanchi gani.
0
0
0
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Muwe mnafanya research ya vitu by practice don't Google skuizi kila mtu ana blog anaandika anacho kifahamu.. nimeanza kazi ya youtube since 2019 till now sijawai ona icho unachosema
0
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Kaka mlete youtuber yeyote kama atakubaliana na iyo notion yako youtube pesa insignia kwa kuzingatia RPM Mzee achana na Google hizo ni website kila mtu anaandika perception yake
0
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Mwezi wa 12 nimefunga nikiwa na dollar 32 na upande wa views video zote ilikuwa zaidi ya laki nane afu unasema youtube wanalipa kwa views bro nenda kasome Policy fresh za youtube
3
0
1
@Tacticboy_ @NasraHeri @Rydx_017 Kaka Acha hii ujinga kabisa 😂 YouTube malipo ayahesabiwi kwa idadi ya watu kunakitu kinaitwa CPM na RPM sio watu bro unaweza pata views buku wa UK ukapiga pesa nyingi kuliko views milion wa bongo
1
0
2