Zemmy Profile
Zemmy

@ZemmyRapid

Followers
678
Following
30K
Statuses
5K

Music Artist,Song-writter,Actor, Presenter,Junior Scholar &Special Needs (Education) Advocate.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ZemmyRapid
Zemmy
1 year
Hii nisingeacha ipite,such an inspirational piece of art. Nimeweza ama nirudi drawing board?!😂😂
1
4
8
@ZemmyRapid
Zemmy
17 hours
@MwansasuSnr Japo production ya ule wimbo sijawahi kuielewa. Kuna vitu havikukaa sawa kwenye mixing na mastering ya hii ngoma,kwa mujibu wa sikio langu!
1
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
1 day
@selemasaki Huyu mama siyo yule huwa anafundisha masomo ya ndoa,kaya na familia kwenye mikutano ya Waadventista Wa Sabato?
0
0
1
@ZemmyRapid
Zemmy
1 day
@MarekaMalili Basi itakuwa hujaisikiliza 'KIMEUMANA' ya @mex_tz ft @dizastavina na @GnakoWarawara.
0
0
1
@ZemmyRapid
Zemmy
2 days
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
3 days
Could someone explain to me,how does this resolve ANYTHING at all?! What I am trying to say, is any of this enough or at least equivalent to what's been experienced by the Congolese?
@jumuiya
East African Community
3 days
1/2 📍Communique of the Joint EAC- SADC Summit of the Heads of State and Government @SGNduva @SADC_News
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
3 days
@An_gBaby This is good news,though I'd say you are bigger than ANY validation,awards included. The best we have in TZ.
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
3 days
@HNLGuy I think I love it! Thumbs up,buddy.
0
0
1
@ZemmyRapid
Zemmy
4 days
@Geoffrey87Lea @abissay_stephen Camara alikuwa na uwezo wa kufanya kitu,kuucheza mpira kwa sehemu nyingine ya mwili. Aliridhika na makosa akijua lawama si yake.
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
4 days
@ItsKamala VACATION!!!
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@blackboyvictor Nyinyi 'wenye timu' mmefanya nini kwa Che Malone aliyechoma mechi tatu mfululizo? Vipi kuhusu Camara Pin Pin dhidi ya Yanga (1-0) na Coastal Union (2-2) mzunguko wa kwanza? Lakini je,'fala' gani hapaswi kuchekewa kati ya aliyejifunga na aliyekosa nafasi NNE muhimu?!
2
0
2
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@Gery_Gerrald Swali la msingi mno! Na mpira ulichezwa kwa dakika takribani 25 tangu goli kufungwa!
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@InnocentJLS Hawataki kujadili hilo kwa sababu kwa asili Wabongo wengi ni bullies na watu wa kutafuta 'scape goats'. Ateba si mshambuliaji wa hadhi ya Simba,na Ahoua anapaswa kutokea benchi akipishana na aliye bora kuliko yeye. Chasambi kafanya moja,litafuta yote ya Camara na Che Malone!
0
1
0
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@Geoffrey87Lea Sijui kama inahusiana,ila tatizo la Simba leo lilikuwa Leonel Ateba na Jean Ahoua. Huwa naogopa sana wachezaji wenye viwango vya kawaida halafu wasio na njaa wala kiu ya kupambana! #SolidarityWithChasambi
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@Mzeewajambia Kwa sababu hiki ndicho anachofundisha Fadlu. Simba tunafanya sana hili,timu ipo kwenye ryhtm ya kushambulia,na ghalfa mchezaji anapiga mpira mstari wa chini. Lakini pia,Camara alikuwa na uwezo wa kuupiga hata kichwa utoke nje!
1
0
1
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@MichaelMwebe Mimi nimewaambia watu Ligi imeisha leo. Na kwa bahati mbaya,tuna wachezaji takribani watatu kikosi cha kwanza ambao hakuna uhakika wa performances zao kwa kila mechi. Kama uyoga vile,mchana mboga halafu usiku sumu.
0
0
1
@ZemmyRapid
Zemmy
5 days
@salimosaid Actually,Ateba is the one who should be in tears. Wasteful and incompetent in almost every touch,yet he 'saved' the last minute Mukwala's strike!
1
0
4
@ZemmyRapid
Zemmy
6 days
@enamalisa Hii imeenda!
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
7 days
@Geoffrey87Lea Yeyote aliyetengeneza ile 'Soka Letu,Kivyetuvyetu' pale Azam Media atafutwe apewe jimbo mwaka huu. Uzuri wetu tunaweza sana kuzungumzia 'fair play' ya Ulaya,ila likija suala la Simba na Yanga,AKILI tunaziweka mfukoni.
0
0
0
@ZemmyRapid
Zemmy
7 days
@Tanfootball @MalaikaMeena Ana follower mmoja pekee,nimeongezeka nimekuwa wa pili. Hebu tum-follow wazalendo,tuwe naye karibu kumtia moyo!
0
0
1