![#NiYeye Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1764312991766298624/xBvdp22e_x96.jpg)
#NiYeye
@InnocentJLS
Followers
11K
Following
130K
Statuses
40K
Journalist | Reporter | Football Content Creator | I ❤️ Jesus | Yesu Mwamba Wangu
Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
RT @thomasjkibwana: Historia ya Benki ya CRDB Benki ya Ardhi ya Tanganyika (Land Bank of Tanganyika - LBT) ilianzishwa mnamo 1947 na seri…
0
13
0
RT @anuskills3: Bado hujasajili na 1XBET? Unangoja nini?! ✅ Odds kali kupita kawaida! ✅ Bonasi ya hadi 300% kwenye deposit yako ya kwanza…
0
18
0
RT @anuskills3: STAMICO yazidi kuimarika! Mtambo mpya wa Reverse Circulation (mita 300) unarahisisha uchimbaji na kupunguza madhara ya ki…
0
8
0
RT @INFLUENCERjr: Zawadi pekee niliwahi kupokea siku ya valentine ilikuwa ni kadi fulani hivi ukiifungua ina wakawaka na kulia ilikuwa 201…
0
33
0
RT @ayo_shangwe: Vituko vya mwaka 😀😀😀 kwamba Serikali ina lalamika wakili ana ipendelea ACT Wazalendo 😳 haya ni maajabu 😃😃😃
0
1
0
RT @thomasjkibwana: Ipo Ibara ya 99 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 lakini naona inaongelea zaidi kumzuia mtu kupiga kura na sio…
0
2
0
RT @thomasjkibwana: Ocean Road Cancer Institute ilianza kutoa huduma mwaka 1895. Mwaka huu wanatimiza miaka 130. Kazi wanayo fanya kutoa h…
0
6
0
@ayo_shangwe Dada yangu, huko Mahakamani sahau, kwenye sanduku la kura ndo kabisa sahau, Nyie nendeni kwenye uchaguzi kama mlivyopanga, tupambane kwa pamoja kila mtu kwa njia zake, ipo siku tutakuwa na Katiba mpya, Tume huru mpya na mfumo huru wa uchaguzi.
0
0
0
@ayo_shangwe Shngwe, mimi si Mwanachama wa chama chochote, sifungwi na itikadi, natoa maoni nikiwa huru, Maoni yangu mwaka huu msiende kwenye sanduku la kura na CCM bila reforms , mtashindwa japo najua mtapewa baadhi ya majimbo , sio mbaya japo mtakuwa hamjatimiza wajibu.
0
0
0
@ayo_shangwe Dada Shangwe, mnapambana wapi ?, Mahakamani ?, sehemu ambayo mnajua hamuwezi kupata haki ?, au wapi tena ?, kwenye sanduku la kura ? Uongo. ACT mnaenda kwenye uchaguzi mkiwa mnajua kuwa uwanja ni wao, refa ni wako, kila kitu ni chao, So mnategemea nini hapo zaidi ya kushindwa ?
1
0
1
@ayo_shangwe Sula la 20m inafanya nini mnajua nyie, jibuni hoja zangu, Nipo tayari hapa kwa mjadala wa wazi wenye kutumia lugha nzuri na bila makwazo Karibuni
2
0
0