![Michael Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1887148644744245248/Ow7PX22g_x96.jpg)
Michael
@Michaell__77
Followers
73
Following
530
Statuses
2K
Africa needs the liberation of thought not religion.
Zanzibar West, Tanzania
Joined September 2024
@HilouxOfficial @millardayo Wewe ndo kabsa akili huna, an watu wana mna mtindio wa ubongo, kutwa kucha kubaguana kisa adini an kama mazwazwa
1
0
0
@mwanangu23 @millardayo Inahitaji uelewa mpaka sana, vitabu vyenu ndo vya kwanza kuleta haya mambo, maandiko yao yameandika si rahisi kwa haraka haraka ukayagundua haya, Dini ni kitu kizito sana tena sana, Dini ukiiparamia kama sisi waafrika tutabaki kuipigania kama wehu.
1
0
0
@HilouxOfficial @millardayo Pitia mambo kwakina, soma kitabu chako unacho kiamini, pia ukae na uanze kutafakari. Linganisha na maisha yetu halisi. Kama utafanya ivo kwakina unaweza kunitafuta ukasema Bro nikweli. Dini haijawahi kuleta amani Duniani, Dini haijawahi kuleta uponyaji, Dini ndo chanzo cha matatz
1
0
0
@HilouxOfficial @millardayo Angalia chanzo cha kiini kilitoka wapi..... tatizo mnakuja na mihemko ya dini. Njoeni kwa akili zenu.
1
0
0
@1badmanboy @ShabaniSajilo @TweveDevota Watu wakijiona wao wanapata basi wanazani kila mtu anapata, na mtu akikosa wanamwita mjini an hawajui2 watu wanapitia mangapi, mtu anakaa siku 7 hajaingiza hata elfu 5
0
0
0
RT @Sirjeff_D: Ogopa sana DINI Kuna mtu yupo serious kabisa anaamini kuwa akifa atazikwa: baadae atafufuka, atapewa mwili mpya, atakuwa nβ¦
0
32
0