![Riziki Mtui Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1584164547509854208/PENASnGl_x96.jpg)
Riziki Mtui
@Mawazohuru_
Followers
864
Following
1K
Statuses
2K
Writer | Blogger | Teacher
Tanzania
Joined November 2017
Tuache utani mtandao gani kama @YasTanzania_ utakuruhusu unagalie account yako ya bank bure?βΊοΈ
0
0
0
@GetrudeMligo Tunakemea pia maudhi ya kueneza uovu na mmomonyoko wa maadili. Sasa hivi imekuwa too much
0
0
0
@NemcTanzania nahisi mnahitaji sera za kutunza mazingira nasi maneno tupu. Mafano hizi chupa za vinywaji kwa nini zisipandishwe thamani ili watu waomote na thamani hii viwanda pia vihusike.
0
0
0
@godbless_lema Mkuu wewe umeona tu waziri alivyozuiliwa sasa pata uhalisia kiasi gani raia anapotaka kumuona kiongozi wake katika eneo husikaπ₯²nadhani wengi mnafahamu mziki wake
0
1
2
@Eng_Matarra @Labella_Mafia95 Haaaa! Tena mifano aliyotelea ni ya Putin Afrika ya Katiππ
0
0
1
@MalisaGJ_ Kuna watu hawajamwelewa kabisa. Maana yake huwezi pata haki mahakamani tena taasisi iliyoaminiw kutoa haki.
1
0
12
@Jambotv_ Ukiwa kiongozi Tanzania jitahidi usiongee utani koz watanzania hatutafuti maana zaidi ππ
0
0
0
@Jambotv_ Kuna shida sana kwenye kauli za Serikali. Mfano Elimu kuna wazazi hata mia hawapo tayri kutoa. Hivyo Serikali iweke mikakati kwa kauli zake ni kipi bure kabisa
0
0
0
@Eng_Matarra Nimetafakari sana ila nimegundua ili nifanye haya yote kaka aliyosema nahitaji kuacha kazi ya sasa ya ualimu.
1
0
2