Lyakale_ Profile Banner
🅜🅐🅢🅔🅘 Profile
🅜🅐🅢🅔🅘

@Lyakale_

Followers
1K
Following
205K
Statuses
15K

Joined February 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
45 minutes
@HildaNewton21 Mhubiri amesema vyema sana. Kuna wafanyabiashara wa imani na matapeli wa injili ambao wao kazi yao ni kuwatumia watu kujipatia utajiri lakini hawako tayari kusimama na hao watu kuhusu haki zao. Wale ambao wauwaji wanakwenda kuteka vipaza sauti na kupiga porojo nao wanashangilia.
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
11 hours
@tolemongikoro @mdudenyagali Endelea kufirwa
1
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
23 hours
@Jambotv_ @ccm_tanzania Deni pekee analonidai ni tiketi ya mapumziko kupisha rais mwenye msimamo na uwezo wa kuitoa nchi iliko sasa na kuipeleka inakostahili kuwako. Kiongozi anayepiga vijembe, kukejeli au kukaa kimya wakati maovu yanatemdeka kwa watu wake basi huyo hana kibali cha Mungu.
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
23 hours
RT @ChiefMKOMWA: Mwanasiasa Wangu Bora na Wamfano Wa Kuigwa Kwa Kipindi Hiki Kwangu Mimi ni Huyu Kaka Yangu @godbless_lema Amenishangaza Sa…
0
56
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
23 hours
@Ndolezi_Petro Kuna wakati nilihisi labda ni mimi peke yangu niliyeona kwamba hili ni tatizo mpaka nikajishtukia. Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu na hakuna anayejua rais ajaye atakuwa na maono gani kuhusu wizara mbali mbali au wasaidizi wake halafu mhuni anakuja na saini zake kwenye fedha. 🤷‍♂️
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
23 hours
@tolemongikoro @mdudenyagali Una haki ya kuwa mpumbavu lakini hauna haki ya kuamua kuhusu wengine. 🤝
1
0
1
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
1 day
@LazaroNyalandu Haja ya moyo wangu ni kuiona Tanzania Mpya yenye amani na isiyo ya utekaji bila ccm. Nina imani mwaka huu tunakwenda kupokea kwa jina la Yesu. 🙏
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
1 day
@mdudenyagali Kuna kingine wanachoweza zaidi ya kuteka vijana kwa kuwapigia simu au kuwanyima dhamana wazee?
0
0
1
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@fumbokhanJr Amka utakojoa kitandani 😅
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
Tweet media one
0
0
1
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@mdudenyagali @mwigulunchemba1 Ndio maana amekimbilia kuweka saini yake kwenye fedha wakati tunaelekea kwenye uchaguzi na hakuna mwenye uhakika wa atakuwa nani baada ya hapo. 🚮
0
0
5
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@ayubu_madenge Wanatufaa sana hao kwenye slogan yetu ya No Reform No Election 😁
0
0
31
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@DenisMarwa29429 @tanpol Hayo sio madhaifu, ni upumbavu wa kujitakia. Kwani serikali yako ilivyotunga huo wimbo kwa ajili ya Amin, wao walikuwa wakamilifu sana?
1
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@Jambotv_ Aanze kwanza kutuambua Soka na wenziye wako wapi na ni nani alimuuwa mzee Kibao. Hatuwezi kuwa na mtu anayenyooshea wenziye vidole wakati yeye ana matatizo kibao.
1
0
5
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
Tweet media one
0
0
3
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@TheRealEkiswaga @IAMartin_ @kafulila_david @zittokabwe Labda mtuambie nyie wanaccm, shaka ni kitu gani?
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@FarajaNyalandu @LarryMadowo U'buzy wa Lazaro 😊
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
Tweet media one
0
0
0
@Lyakale_
🅜🅐🅢🅔🅘
2 days
@jacksonmnyawam2 @SuluhuSamia Hii inamaanisha kwamba eidha mtangulizi wake alikuwa anafanya maigizo ama huyu anawaogopa wahuni.
0
0
1