![MicasaSucasaš£ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1788984311447699456/ZwZ8A-iB_x96.jpg)
MicasaSucasaš£
@Kirungu_
Followers
516
Following
12K
Statuses
7K
The Sperm that won the Race | Traveller | Tourism Activist. Naipenda FC Barcelona na Simba SC.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2011
@YoungAfricansSC Admin naye akili hana,anaweka picha ambayo inaonesha mchezaji wenu kashindwa kuwin battle ya kupokonya mpira kutoka kwa Dilunga... Au Priva ndo Admin?
0
0
0
@VannesserMalick @Eric__Bernard Milio imeanza... Mwasha ashikilie hapohapo hadi mtoke mapangoni
0
0
5
@Eric__Bernard Ukisikia kisu kimegonga kwenye mfupa ndo hii sasa...Hakuna mwanamke malaya malaya atakuja afurahishwe na hii clip. Ni POVU tu! Lilian Mwasha kaponya wengi,na mimi nikiwemo! Naiweka status watajua wenyewe maana sina mmoja! Atakayeumia avae aende. No reform, no relationship šš¤£š
0
0
7
@Captainpilo7 Kufa tu, hii dunia haiitaji wajinga wawe wengi,wanatuchelewesha. Unaishi na mtu anayegawa uchi kwa kila mtu sasa wewe unajielewa kweli? Kachukue sumu ya panya koroga unywe chaap. Unless otherwise unatafuta engagement tu humu.
2
0
9
@chanuwa123 @SimbaSCFansPage Mimi sitetei mtu,ila najielekeza kwenye fact pale ninapoona habari zilizokaa kiuongo uongo. Ni waamuzi gani wawili wamechezesha mechi 11 peke yao kwenye mechi za Yanga? Maana Arajiga na Ally Mnyupe wamechezesha mechi 7 tu kati ya 17. Hizo takwimu zenu zinatoka wapi?
0
0
1
@hlempinda @SimbaSCFansPage Taratibu kaka,meza unayojaribu kutingisha ina vinywaji vya gharama sana. šš¤£š
0
0
1
@Gdaz1980 @SimbaSCFansPage Kwa mujibu wa kipeperushi chako kinaonesha Arajiga kachezesha mechi 4 tu kati ya 16 na sio mechi 6. Na sisi Simba tuna Shomari Lawi kachezesha mechi 3 kati ya 16. Ukiangalia uwiano ni almost the same! Sasa hoja yenu ni nini hapa? Mnaleta vitu havina mashiko na havitusaidii hata!
1
0
5
@privaldinho Duru zinasema wewe unapakuliwa,na kipindi uko mawinguni mlikuwa mnapumuliwa wewe na 'Vitamin B12' na mlikuwa maswahiba. Kwa andiko lako hili naanza kuamini taratibu kuwa wewe ni mchicha mwiba!
1
1
7
@Tanfootball @tplboard @wambura70 Ila TFF jau sanaššš Kwa hiyo mnairipotia FIFA ama nyie ni wasemaji wa FECOFOOT? Halafu kuna Congo mbili, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Jamhuri ya Congo (Brazzaville). Sasa hapa which is which?
1
1
15
@Dominicksalamb1 Wewe nawe na kigugumizi chako kama choko sijui uliwezaje kupata nafasi Azam ya kuchambua mpira. Unaandika nonsense utadhani wewe ni shabiki wa Yanga. Maana hizi takataka mara nyingi huandikwa na watu wa Yanga. KLMY!!
0
0
1
@IAMartin_ Hili andiko limekaa kinafiki nafiki sana kwa mgongo wa "Ma Ccm" ili ionekane uko serious! Ngastuka,machale kundesa! Tumeshakupasukia mura!!
0
0
3
@WishbestQuality @SportsarenatzTz @shaffihdauda1 @FKihamu @mzeewakaliua @Kingvannytz_ @Rydx_017 @Labella_Mafia95 @kigogo2014 Kipengele: Miguu inagonga,kioo kina kleki. Halafu unasema Clean as new! Madalali wa Bongo mtatuua
0
0
0
@Mwikola16 @lifeofmshaba Mapapai yako mengi MCC. Huyo Shari Yakobo ni choko haswaa,namjua personally. Ana tabia za kichoko sio poa na ni CD Wilaya fulani.
1
0
0
@Eric__Bernard Kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977 na marekebisho yake yote, ukisoma Ibara ya 51 (1) na hasa pia Ibara ya 51(2) ni kwamba muda wa Waziri Mkuu kuwa madarakani hauna ukomo wa moja kwa moja kikatiba, lakini unaamuliwa na uhai wa serikali, Bunge, au maamuzi ya Rais na Bunge.
0
0
1