![Leonardo Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1465743555897569283/VFcgmLL__x96.jpg)
Leonardo
@Canossar
Followers
1K
Following
10K
Statuses
2K
corgito ergo sum ® I THINK, THEREFORE I AM
Ontario, Canada
Joined December 2012
@ExaudWilly @Twaha_Mwaipaya Kwani lengo ni mashindano, yeye akipata nyingi ndo kuinuka kwenyewe huko
0
0
0
@MgayaBefa23212 @Chahali Halafu do you know kwamba sheikh yahya hakutabiri suala la upinzani ?? Ni propaganda tu... And besides unamaanisha ulitaka afanyaje ndo awe special?
1
0
0
@Kirikuu20 Naona jamaa anacheza na mbwa wake... Akimbie halafu azunguke hapo hapo we ulisikia wapi
0
0
0
@AlicyMadina @FarajaNyalandu Yaani mtu ukimsikiliza Gudluck, unajifunza vitu vya kiroho vingi as if umeenda kusikiliza neno kanisani, halafu mtu anasema hayupo sawa. You can't use your rational mind to judge God's wisdom hata siku moja
0
0
0
@AnnaTibaijuka Tuache upumbafu jamani, gharama za kununua ma Vi8 na furniture mpya kwa viongozi, na zile perdiem za ajabu, magoli ya mama ndo ziende zikalipie hizo dawa kwanza
0
0
0
@HildaNewton21 @Sativa255 Ukiachana na kuzificha kistadi, hiyo facial expression yake na mkono mdomoni kama ana huzuni... Alipiga kijasusi sana
1
0
2
@mwamwengetz @HildaNewton21 Sasa nchi zilizoendelea unaenda kuchangia gloves ? Na for your information kaka, nchi za Afrika ndo tuna double tax kuliko maelezo, kwa lugha nyepesi tunalipa kodi mno
0
0
0
@mwamwengetz @HildaNewton21 Sheikh ungejua kodi watu tunalipa ni sh ngapi?? Katika miezi 12 ya mfanyakazi, basi miezi 4 hela yote inaenda kwenye kodi.. Hiyo kodi kazi yake ni nini ?
1
0
0