MAK Mringo (PhD) Profile
MAK Mringo (PhD)

@SnrDirector

Followers
17K
Following
49K
Statuses
22K

PARADIGMS

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
4 years
Ukishamuomba Mungu akakupa umri, utumie vizuri kwa maslahi yako na jamii yako hapa duniani na. akhera
9
51
180
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
13 hours
There we're. We have unique proposition for form 4 leavers
0
0
1
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
1 day
RT @ayubu_madenge: Alipambana na wanyama wakali akiwa anachunga, akaingia darasani akiwa na miaka 10. Akawapinga wakoloni kisha akakimbilia…
0
108
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
3 days
RT @MbelwaK: Jana nilipata fursa ya kuonana na Ndugu Strive Masiyiwa katika hafla ya kuadhimisha miaka 10 ya Taasisi ya Kings Trust Interna…
0
2
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
4 days
RT @PMadeleka: Mbunge wa Mwanga Mheshimiwa Wakili JOSEPH TADAYO ndiye MBUNGE WA KWANZA DUNIANI, kumshangaa DPP kuomba MTU ANYIMWE DHAMANA k…
0
129
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
5 days
Zanziba kwa raha zetuu Uchumi wa bluuu kwa kwenda mbeleee
Tweet media one
0
1
1
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
5 days
Believe it or not, you have a file/book that everything you do is recorded and upgraded;- daily, weekly and yearly and tabled to Allah. Just emagine- what's in there?
0
0
3
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
5 days
Msimu mpya wa masomo kwa wqliomaliza kidato cha nne- Mkupuo wa machi 2025
Tweet media one
0
1
1
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
5 days
*QURAN TUKUFU SURA YA 74* "AL-MUDDATHTHIR" 48. Basi hautawafaa kitu uombezi wa waombezi. 49. Basi wana nini hata wanapuuza onyo hili? 50. Kama kwamba wao ni mapunda walio timuliwa, 51. Wanao mkimbia simba! 52. Ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa. 53. Hasha! Kwani wao hawaiogopi Akhera? 54. Hasha! Kwa hakika huu ni ukumbusho! 55. Basi anaye taka atakumbuka. 56. Na hawatakumbuka isipo kuwa Mwenyezi Mungu atake. Uchamngu ni kwake Yeye, na msamaha ni wake Yeye. *75. AL-QIYAMAH* *KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.* 1. Ninaapa kwa Siku ya Kiyama! 2. Na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu! 3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? 4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake! 5. Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake. 6. Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? 7. Basi jicho litapo dawaa, 8. Na mwezi utapo patwa, 9. Na likakusanywa jua na mwezi, 10. Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? 11. La! Hapana pa kukimbilia! 12. Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi tu. 13. Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na aliyo yaakhirisha. 14. Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake. 15. Na ingawa atatoa chungu ya udhuru. 16. Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. 17. Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. 18. Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake. 19. Kisha ni juu yetu kuubainisha.
1
3
8
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
5 days
*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.* Alhamdulillah! Tumehuishwa tena salama. Tukiwa tuko ndani ya siku ya saba ya Mwezi wa Sha'aban, Mwezi ambao Mtume (ﷺ) alikithirisha kufunga; tukumbuke fadhila azipatazo mja anayefunga ktk njia ya Mwenyezi Mungu, kama inavyodhihiri kwenye Hadith iliyopokewa na Abu Sa'id Al-Khudriy (رضي الله عنه), akisema: *"Mjumbe wa Allah (ﷺ) amesema: 'Hakuna mja yoyote anayefunga siku moja ktk njia ya Allah isipokuwa Allah Atamuweka mbali na moto [umbali wa safari ya]miaka sabini elfu kwa sababu ya siku hiyo.' ”* (Bukhari na Muslim) *Tanbih:* _Kufunga kwa ajili ya Allah, inaelezwa kwenye Bulughul Maram kuwa, kunaweza kumaanisha kuwa mtu anafunga huku yumo ktk uwanja wa vita na inaweza pia kumaanisha mfungo wa hiari (Sunnah).Abu Sa'id Al-Khudriy (رضي الله عنه) alikuwa (Ansaar) mdogo sana wakati wa vita vya Uhud kiasi kwamba hakuweza kushiriki vita hiyo. Inaelezwa pia kuwa yu miongoni mwa watu bora saba ktk mapokezi ya Hadith._ *(Tazama _Bulughul Maram_, Ibn Hazm, Kisw., 2013, uk.348, Hadith Na.554, Ufafanuzi Na.749)* Allah, kwa Rehema Zake, Atujaalie tuwe ni wenye kunufaika na mafunzo yapatikanayo kwenye Hadithi hii. *Aamyin*
1
3
6
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
RT @samatimemagari: Nimekua nikifatilia hii ajali ya Moshi Ya Juzi 1/2. . Ya hii Rav 4 Miss TZ MPYA EKU ambayo imeondoka na Kijana mdogo tu…
0
151
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
RT @Kiganyi_:
0
40
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
RT @OlengurumwaO: Bado nasema kama kuna makabila ya nchi nane zinazozunguka hapa Tanzania na kwa nchi hizo pia , hata makabila ya Rwanda ya…
0
100
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
Amini usiamini- kuna watu wana upendo, kama kwenu hakuna upendo usidhani dunia ndivyo ilivyo. “Najivunia kurejesha tabasamu la mdogo wangu kwa kumchangia figo, alikuwa ana matatizo ya figo na alilazimika kuja kusafishwa figo kila mara hivyo nimejitolea kumchangia figo ili aweze kuendelea na maisha yake kama kawaida”*. *Bi. JULIETH KIRIA* Mchangiaji Figo.
1
2
10
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
It's viral ............
Tweet media one
0
0
1
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
That's how it is there!!!
0
0
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
7 days
It's world cancer day today
Tweet media one
0
0
3
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
8 days
RT @AdvocateKondele: Jifunze kitu kwenye kesi ya mzee Suleiman ambaye alioa wanawake wawili mmoja akiwa kariakoo mwingine Rufiji. Baada ya…
0
80
0
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
8 days
*QURAN TUKUFU SURA YA 71. -NUH* 11. Atakuleteeni mvua inyeshe mfululizo. 12. Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito. 13. Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu? 14. Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja? 15. Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka? 16. Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa? 17. Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea. 18. Kisha atakurudsheni humo na atakutoeni tena. 19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati. 20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana. 21. Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika hao wameniasi, na wamemfuata yule ambaye mali yake na wanawe hawakumzidishia ila khasara. 22. Na wakapanga vitimbi vikubwa. 23. Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra. 24. Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea. 25. Basi kwa ajili ya makosa yao waligharikishwa wakaingizwa Motoni, wala hawakuwapata wa kuwanusuru badala ya Mwenyezi Mungu. 26. Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri! 27. Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. 28. Mola wangu Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu, na kila aliye ingia nyumbani mwangu kuwa ni mwenye kuamini, na Waumini wote wanaume, na Waumini wanawake. Na wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
1
3
7
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
8 days
Is this true or it's AI??? French Ambassador beaten in Kinshasa Gen Z's in Congo 🇨🇩 have decided to take their future into their own hands. The African politicians have failed us. Now is Justice ⚖️ on the streets. The game is over. The French will leave Africa in peace or in pieces. The choice is up to the French. Africa for Africans. *Africans Awakening*
1
2
7