![Misana Alphayo🇹🇿 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1853525334890557441/jnPGBVbq_x96.jpg)
Misana Alphayo🇹🇿
@Alphayotz
Followers
276
Following
48
Statuses
4K
@jokateM Nchimbi awe makini sana mwezi wa 10 ni mbali yasije kutokea mambo mengine likabaki jina
0
0
0
@ayubu_madenge Yaani watu wa Gaza wahamishwe kwa nguvu wakawe wakimbizi kwenye mataifa mengine then Ukanda wa Gaza uchukuliwe na Marekani
1
0
0
@immaMtanganyika @MohoniaJoseph11 @MariaSTsehai @lifeofmshaba @Liberatus80 @JohnNgutiCDM @JoelyMsuya @ItsTemba @HildaNewton21 @ShijaShibeshi @SheilaMchamba Wamekujibu vizuri sana
0
0
0
@ayubu_madenge Hapo kwenye kikao hakuna wa kumkanya huyu kiumbe sioni kama amekuja kutafuta suluhu
0
0
1
@millardayo Kuitunza Amani si CCM kuendelea kukaa madarakani ,msitumie kigezo cha amani kuharalisha maovu
0
0
0