![JamineJames😋 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1515559209886175236/U16tVFPz_x96.jpg)
JamineJames😋
@theJamiineApple
Followers
1K
Following
474
Statuses
14K
@yangasc1935 @realmadrid
Tabata, Dar es Salaam Tanzania
Joined October 2021
Mbona nafasi ya Mwenyekiti hamjataka kuheshimu na mmekubali uhuni, wakishuka kwenye nafasi ambazo mnagombania ndio mnaanza kushtuka
@kingongosha @MwanaFA Lazima tujenge utamaduni wa kuheshimu sauti za watu katika Kura
0
0
0
@TheRealEkiswaga @salim_alkhasas Mngekuwa hamuwaogopi mngekuwa mshawataja...angekuwa mtu kama sufiani angekuwa ameshatajwa ila sababu ni mabig wings hamuwezi wataja
0
0
0
Ndio maana TTCL amelala, maana ashaambiwa asifanye ushindani ila ingekuwa inafanya ushindani TTCL ingekuwa kampuni kubwa sana ya Mawasiliano Tz kwa namna ambavyo wapo kila sehemu
“Yale mashirika ya umma ambayo tumesema yafanye biashara, yafanye biashara kweli bila kuingizia serikali gharama yoyote, lakini tusingetaka kuona mashirika ya umma yashindane na Sekta Binafsi. Tumeshakubaliana kwamba muhimili wa uchumi wa nchi hii ni uimara ya sekta binafsi.” – Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
0
0
1
@LuckyLu____ Nilitaka kushangaa malaya ukubaliane na hayo maneno ya Mwasha...ni ngumu sana maana utakufa na njaaa
2
0
4
@TOTTechs @Positivenga1 Sijui kwanini na wao wamekaa kimya nazani itawaaribia na kupunguza uaminifu wangetoa statement.
0
0
1