![Binamu12 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1537808503729012739/vx0QhDoT_x96.jpg)
Binamu12
@kingongosha
Followers
194
Following
3K
Statuses
9K
@LifeOfJuma @Nassibmkomwa_ Hawaogopwi wameshtukiwa.... bila shaka matokeo unayo ya match ya leo.
0
0
0
@TriciaAbou Hata Ile clip ilivujaga ya yule Mzee match ya Azam iliaminishwa hivi hivi Yanga mpaka baada ya muda zilipokuja kuonekana akiwa anashangilia Azam. Hapo sioni mtu wa Yanga ila inasemwa Yanga. Ila wewe tu unapenda sana shiriki. Mada zako nyingi unapendelea haya mambo, unayapenda
0
0
1
@Ndolezi_Petro @kangungu1 @elyneema Huu ni msimamo wa CDM sio lazima wewe ukubaliano nao na chama chako. Kama wewe unaona taratibu za kisheria za uchaguzi ziko sawa endelea na chama chako usiungane na CDM inayotaka hayo mabadiliko.
1
0
19
@Buberwa_ Anzia hapo hapo..... wenzako walianza na cement pekee na walipiga hatua. Usianze kujifanya kuna mshikaji.
2
0
9
@LubinzaLucas @KamigakikuMbise @EJ_Mwita Hoja yako ni sahihi..... nakubaliana nayo. Sio hoja ya mwana kuwa hawapo kwa kivuli niko hiyo filed miaka 70.
1
0
1
@wiittole5867 @EJ_Mwita Lowassa alikuwa mfugaji mkubwa na tajiri kabla ya iko kiti. Mzee wa nyuki ndie aliyeendaga kutembelea project za ufugaji na kilimo
1
0
0
@jobGulam @Cheupe1997 @Big_Nicky01 Sawa sikupingi... ukipata wasaa upitie na 𝟭𝟯𝗵𝗿𝘀 [𝗧𝗵𝗲 𝘀𝗲𝗰𝗿𝗲𝘁 𝘀𝗼𝗹𝗱𝗶𝗲𝗿𝘀 𝗶𝗻 𝗕𝗲𝗻𝗴𝗵𝗮𝘇𝗶]
1
0
1
@dakika0 @billyshankly18 @Sativa255 Nashindwa kuelewa mi nilidhani punters wanaheshimiana kwa vita wanayopigwa na wakuda. 🤔
1
0
1
@billyshankly18 @Sativa255 Well said.... Alafu inakuwaje punter unakandia predictions za punter mwengine 🤔
1
0
0