![Vagaza Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1566279812603428870/ejXnDsk4_x96.jpg)
Vagaza
@Cheupe1997
Followers
990
Following
18K
Statuses
1K
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Sema watanzania tunaacha mambo ya maana tunadeal na m Mambo ya hanasa mfano hapa mwisho momo kaongea jambo la msingi sana kuhusu mtoto wa kike kwenye famili ila hakuba media utakutia wamecut ile sehem na kupost
1
0
1
@DullahTheking2 Sema kuna namna flani kuna vitu vmepotea kwenye mziki yani huwezi kuta msanii mmoja mwenye anaekupa vitu wingi kwa wakati mmoja na ukimkuta basi atakuwa na shida ya uwasilishaji (mfano zamani alikuwepo juma nature)
0
0
2
@chapo255 The hata katika biashara inatokea mteja kupewa bei tofauti na mwengine kwa bidhaa moja ambayo mwengine anaweza kupewa hata bure.
0
0
1
@TwevePauLo Kuhusu dini ya kweli kila mtu anaamini dini yake ndio ya kweli ila sjuw kwann wakristo hii dini inachezewa sana kupitiliza yan ukiristo wa zama hizi ni tofauti kubwa na wa zamani zaman ilikuwa uislamu na ukiristo karb ya sawa kii iman ila tofaut ni nan mung wa kweli ila sas mmh
0
0
0
@DullahTheking2 Binafsi ni mpenzi wa kalamu iliyotukuka napenda sana namna uandishi na jinsi ya uwasilishaji wa msanii. Nitamzingatia zaidi mboso then jay melody na nitamtoa mario kwenye list yangu (binafsi)
1
0
5