sajo_mwaihabi Profile Banner
LUSAJO Profile
LUSAJO

@sajo_mwaihabi

Followers
22K
Following
14K
Statuses
15K

Grow your Company/Business Sales with Me | Increase your Market Outreach with Me | I'm the Founder & MD at @ebdigitaltec | JESUS IS MY LORD

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
1 year
Kuna wakati KUJITOLEA kwako kunaweza kuwa ufunguo wa kutoboa maisha. Nishawahi kuwapa stori kwa ufupi na kusema niliingia kufanya kazi kanisani. Wacha leo nikupe stori ya jinsi nilivoingia na kuweza kupata fursa inayoishi Hadi leo Kindly repost ili wengi wajifunze kitu.
Tweet media one
Tweet media two
129
357
1K
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
2 hours
RT @splumber2: Umeoga Asubui? Majiyalitoka vizur kwenye Shower mixer? Unaona unaitaj kuongeza pressure ya Maji Nitafute #Samplumber
0
1
0
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
2 hours
RT @kitabucafe: @sajo_mwaihabi Tatizo hapo ni kukosekana kwa OPERATIONAL TRANSPARENCY. Mzigo umechelewa kufika na mteja hajui nini kinaend…
0
2
0
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
2 hours
RT @bajabiri: @benny_kwayu @sajo_mwaihabi @mwigulunchemba1 Anashauriwa abadili Jina for rebranding. Kubadili Jina alikomaanisha Lusajo si…
0
1
0
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
RT @NgowiGold: In December last year I recommended certain a cargo and freight company to handle the goods from China to Tz, but the outcom…
0
2
0
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@Pacy_J Wengi wanaichukulia poa sana
1
0
3
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@EliabuDanford Sasa ukileta hiyo Elimu ili kuwasaidia watu, unapigwa vita nzito sana!
0
0
0
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
Ni kweli, but COMMUNICATION IS THE MAJOR KEY. YOU BLOCK YOUR COMMUNICATION, YOU BLOCK YOUR SELF
2
0
3
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@Adventure_36 Wakati wengine wako kwenye hustle za kitaa 😂😂😂
1
0
3
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@GetrudeMligo @MarekaMalili @KennedyMmari Hongera sana Getrude, Mungu azidi kukufanikisha dada.
1
0
2
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@glass_amo Acha tu kaka!! Hasara yake Ina chain kubwa sana.
0
0
3
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
20 hours
@INFLUENCERjr Ni wengi wanalia sana kaka.
0
0
2
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
21 hours
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
10 days
Watu wangu wa Arusha, nimepata heshima kubwa kupitia taasisi ya BENEVO kuja kuonana nanyi na kumwaga madini yanahusiana na HUDUMA KWA WATEJA. Hii ni kutokana kampuni/Biashara nyingi kuporomoka kimauzo kwa sababu kukosa skills nzuri ya HUDUMA KWA WATEJA. Tukutane CORRIDOR SPRING HOTEL - ARUSHA. Kwa ada ya Tsh 139,000/- kwa mtu mmoja. Jisajili mapema kupitia link hii
Tweet media one
0
1
14
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
1 day
@brayansilayo_ This is so true
0
1
1
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
3 days
@Sirjeff_D Hii hata mwenye IQ ndogo kama yangu, nimekuelewa haraka. Uko muongo wa Tatu, katika muongo huo kuna miaka 10 na wewe uko mwaka wa kwanza katika muongo huo. Au sio
1
1
8
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
3 days
@MwijakuBurton ulishindwa nini kumfuata personally au kumpigia simu na kumwambia? Kuandika hapa, sisi inatusaidia nini? Afu utashangaa hujatumwa useme Nakushauri, tafuta Mtaalamu wa Afya ya AKILI na saikolojia akusaidie. Attention zingine ni za kipumbavu sana. Ninyi ndio mnaofanya Wasomi waonekane Nonsense
6
1
49
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
3 days
Good morning my people, I wish you a blessed Friday with Happiness. Enjoy your day 😊
1
1
27
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
4 days
WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUWA NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO!
1
1
36
@sajo_mwaihabi
LUSAJO
4 days
@MiriamMkanaka Aiseee kumbe ila nauli yao lazima ikakamae aisee...
0
0
0