![BRAYAN A SILAYO Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1806991344394502144/I4TlJMR6_x96.jpg)
BRAYAN A SILAYO
@brayansilayo_
Followers
130
Following
55
Statuses
7K
Author of #IshiNdotoZako | Building @jengaujuzi | Youth Skills Advocate | Aspiring MP for Rombo | Sharing growth & leadership insights 👉 JESUS IS MY SAVIOUR
Moshi,Tanzania
Joined October 2022
Remember....👇 Progress is a journey, not a destination. Every small step moves you closer to your dreams. #Mindset #SmallSteps #GrowthJourney #KeepGoing
0
0
0
@UONGOZI @theutdcode Oooh thanks for update @UONGOZI Looking forward to be 2025 competition's winner 🏆
0
0
0
@theutdcode @UONGOZI Hii ni mara yangu ya Kwanza.Washiriki huwaga wengi itakua kuna namna wanafanya kuchuja watu 😁
1
0
0
So,@UONGOZI wameandaa hili shindano kwa Vijana wa s all about this SDGs and it's implementation. Nimeangalia washindi wa miaka iliyopita and I'm not sure kama nimeona Mtanzania pale. Let's get into it.Dedline 18/02 @theutdcode
2
0
0
RT @SalumAwadh: Part-time business anyone? Why is starting a part-time business while fully-employed has not be successful for many? 1. G…
0
25
0
A new day is here—a blank canvas full of opportunities. Today, I choose gratitude, determination, and small steps that lead to big progress. What’s one positive habit you're embracing this morning? #MorningMotivation #NewDayNewGoals #GrowthMindset
0
0
0
"Every small step counts. Today, I choose progress over perfection—each effort builds my path to success. What small win are you celebrating today? #Progress #Mindset #KeepGoing
@sajo_mwaihabi
0
1
2
This 🛠️
KAMPUNI YA MAPEMBELO!! Hii kampuni inaenda kupata DISASTER kubwa ya Kiuchumi kutokana na CUSTOMER SERVICE. Hata kama walipata changamoto zisizoepukika, walipaswa kuwa-handle vizuri wateja wao. Mambo ambayo wangefanya ni:- 1. Kuwasiliana na wateja wao mara kwa mara na kuwapa taarifa ya mizigo yao. 2. Wangekuwa wanapokea na kujibu jumbe za wateja wao. 3. Wangetafuta namna ya kuwasaidia wateja wao wanaoteseka kwa ajili yao. UDHAIFU WAO:- Inaonekana kampuni hii hainaa vitengo vifuatavyo:- 1. CUSTOMER RELATIONS / PUBLIC RELATIONS 2. RESCUE ANALYST 3. BAD MANAGEMENT MATARAJIO:- 1. Kampuni itayumba na kurudi nyuma kwa zaidi ya 80% 2. Inaweza kufa kabisa. NAMNA YA KURUDI SOKONI:- 1. Wafanye Rebranding ya Jina jipya. 2. Watengeneze Marketing Plan & Strategies za kuwarushisha sokoni. SOMO:- BAD CUSTOMER SERVICE CAN TOTALLY KILL YOUR BUSINESS.
0
0
1
🛠️ Period Hapa Kaka na mentor wangu @sajo_mwaihabi atawaeleza zaidi ✍️ 💡 Customer service is everything
1
0
1
"Ukiwa na maono makubwa, usiruhusu vikwazo vidogo vikuzuie. Endelea kusonga mbele, haijalishi ni kwa mwendo upi. #FikraKubwa #UsirudiNyuma
0
0
0