okello_wifred Profile Banner
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ Profile
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ

@okello_wifred

Followers
5K
Following
41K
Media
839
Statuses
40K

Laos deo. TIME IS OF THE ESSENCE. Wachana kila mtuu aongelee mambo yake hapo sio kwako,wewe ambia serikali ikupee kazi.🀌🀌🀌

Nakuru,kenya.
Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
3 years
10
41
164
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 months
Me going through every X account on my timeline to make sure they following me before engaging:
Tweet media one
21
123
171
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Unafurahia kugongeana bois wako kumbe ni yeye alisema ugawiwe ukimwi πŸ’”πŸ’”.
13
53
100
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
3 years
0
0
75
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
13 days
Mluhya ni mtuu anaweza enda Nairobi mara yake ya kwanza bila kubeba simu na ameandika namba kwa karatasi πŸ˜‚.
15
48
92
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
3 years
0
0
62
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
23 days
Mara yangu ya kwanza nikiwa kienyeji nilikuwa najipost huku kama Ig,nivile hamkuwa mnanijua sahii ningekuwa meme πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
14
47
74
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Unaaibisha bois efootball alafu anaanza kuambia watu unapanga game kushinde vile umepanga maisha yako πŸ’”πŸ’” maumbwa nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚.
6
38
69
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Tangu Gen-z wakimbize kasongo last year sikuhizi wazee ndo wanasalimia vijana hata kama hawakujui πŸ˜‚πŸ˜‚.
6
44
69
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Najua mtasema ni jaba lakni utajiri haitaki minyoo, deworm wewe burukenge πŸ˜‚πŸ˜‚.
10
35
63
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
20 days
Advice yenye nataka this year labdaa mahalii nitatoa pesa hii ingine yote kaambie nyanyako 😑.
5
40
64
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
21 days
Sasa hizo sticker zote ulikua unasave huko whatsapp ulikua unataka kutumia naniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”.
9
38
63
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Kila msee ameenda shagz kudinya cuzo,kwani mimi pekee yangu ndio nilienda kukula πŸ€”πŸ€”.
3
27
60
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Mikora niliwashia nots wote ni mimi huwa engage wao walishafika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Heri uamini mwanamkee lakni sio hawa wa tuwashiane nots,lakni sio wote 😁😁.
15
46
62
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
24 days
Ndo naamka wazee,mumebakisha worms kweli ama nirudi tuu nilale?.Good morning πŸ‘‹πŸ‘‹.
6
34
59
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
13 days
Kama haujawahi skia ngoma ukarelate nayo maisha yako ukalia,find help ni kama hauko kamili πŸ’”πŸ’”.
7
33
59
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
27 days
Greatness hukuja na "kuonja" nyama moto kwa sufuri kama hauonwi is unmatched πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
12
34
57
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
23 days
Hio sermon ya leo imeniingilia na sijafurahia hata kidogo nkt 😑😑.
7
33
58
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
8 days
Kuna kitu sielewi huku ni accounts mnauza ama ni kuenda zinaenda
Tweet media one
10
32
57
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Chelsea wanadraw, alafu wewe na hio akili yako baridi unapanda pikipiki kurudi home, kwani hupendi maisha yako πŸ’”πŸ’”πŸ’”.
6
32
53
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 days
Hakuna mtuu anatafuta vidolee za miguu kwa bei nafuu hakuna haja ya kuwa na vituu situmii.
6
35
55
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
21 days
Kwani leo ni siku ya ngapi bado tuko Njaanuary πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯.
4
35
53
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
21 days
Nitaanza kupost na kihindi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ juu nikama audience yangu haiko hapa kenya frauds nyinyi πŸ˜‚πŸ’€.
7
31
52
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Leo nimeenda na ruler bafu na naona inches zimeongezeka, anyway hide your milayas nisipatane nao 😬😬.
4
32
51
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
23 days
You must be mad If you think Arsenal will beat THE GREAT MANCHESTER UNITED today πŸ˜‚.
12
34
50
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
14 days
Good morning my friends and followers,nani huyo anashinda akirudisha January nyuma nimunyanganye hio remote😑.
12
31
52
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
29 days
Mwaka wΓ  kuforce umeisha so this year hata airtime ikikataa kuingia we tupaπŸ’”πŸ’”πŸ’”.
5
26
51
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
15 days
Nimekosa huku siku mbili tatu napata kila mtuu ameverify kwani mumeingia illuminati mukaniwacha πŸ’€πŸ’€.
3
31
52
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Uncle wa pesa tangu aingie leo jioni, washamba kazi ni kucheka lame jokes zake nkt, stay woke guys πŸ’”.
2
31
51
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Wengine wetu hatuendagi mashamba Christmas kuona relatives wetu,ni njaa iko town hutufukuza πŸ˜‚πŸ˜‚.
8
24
49
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
28 days
Sahii hao wahindii 5mirrions wamenifollow wakiunfollow nabaki na followers kumi na loyals tano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”.
7
28
49
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
7 months
6
0
48
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
7 days
Nyinyi hutoa wapi nguvu ya kukaa njaa ndo mnunue data,sahii tumbo naskia minyoo ni kama zinaandamana πŸ’”πŸ’”.
3
33
49
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Sina dollars ama eurosπŸ€‘πŸ€‘ but heart yangu ina pounds❀️❀️.All glory to God πŸ™ŒπŸ™Œ.
11
29
47
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Pale rift valley view point waliweka bango ingine imeandikwa (priceless) and the view is just "PRICELESS"πŸ€—πŸ€—.
4
26
46
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Leo after nduru za merry christmas wale watalala kwa mitaro ni wengi.
4
29
45
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Unashangaa unajiongelesha tl kumbe loyal mashamba alikata mtii iko na network akatumia kama kuni πŸ˜‚πŸ˜‚.
1
23
45
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
29 days
Kukojoa kwa fence ya church feels illegal and it is.
5
23
43
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
29 days
Hatukatai tutapigwa na liverpool lakni mbona mshinde mkituambia nkt.😭😭😭😭.
4
25
44
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
7 days
Kuna kinyozi nimepita leo reggae ilikuwa inachezwo uko ilifanya nimiss jaba,kama sio data za kuja kujiongelesha huku,sahii ningekua kibriiiittt mbaya.
6
23
45
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
5 days
Labda akuwe albino,hio shimo hata haiwezi karibia sura yangu man πŸ’€πŸ’€.
4
22
45
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
9 days
Good morning my friends, tangu nione yesu akihug watu huko tiktok nimeshindwa kutoka huko πŸ˜‚ anyway tumwachie mungu, have a great day.
5
23
44
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Tangu niseti jabaa crushy akaniitia mechi abdallaah akakataa kuamuka, mimi kile hutumia ni rob tuu mwili ikiniuma πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”.
3
27
43
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Leo hakikisha unapiga nduru na manzi yako karibu ama atapigishwa nduru na sio kuibiwa simu πŸ˜¬πŸ˜‚πŸ˜‚.
5
20
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
9 days
Naskia aty usipotoa fungu la kumi unabaki na deni ya hio mwezi ya mungu,mko sure na hizo miezi zote unadaiwa hautafungiwa ka single kako huko sayuni πŸ˜‚πŸ˜‚ wengine hata asali na maziwa mtanyimwq ndo deni ipungue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
3
28
44
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Leo kazi tumefanyishwa site wueehh, sahii natetemeka tuu kama tuk tuk πŸ’€πŸ˜­πŸ˜­.
5
24
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
21 days
Nimeona reels kadhaa sahii tl inanakaa kama haga za wakikuyu,so unpresentable nkt.
6
29
43
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Wacha nikanunulie haka ka SDA fanta kama mbili hivi nione kama katatoboka leo 😁😁 ama mulisema flavour gani ndo panty remover 😬😬.
8
25
42
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Leo tusidanganyane aty ooohh oohhh,nyinyi mnaona tukitoka block kweli??.
9
22
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
9 days
Tangu niwache mihadarati na wanawake pesa pia iliniwacha,kuna kitu sielewi hapo bana πŸ€”.
3
27
43
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Leo nimeambia mamaa aambie msee humdinya ambaie nguo ya christmas sahii hata lunch sioni nikipikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚.
0
21
39
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
30 days
Ati Assanal walifanyiwa nini pia hao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ used to dream of days like these πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
4
20
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 days
Ati kuna ma-she hudhania boys hukojoa kama wameshika mrija,wangejua tunakuanga na holder kwa mifuko.
4
24
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 years
@MrBlackOG Na bado ssi as lakeside people akituita tena lazima tutokee hta mseme nni πŸ˜‚πŸ˜‚.
2
1
38
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Road to 4k followers,Here we go!.Lets connect and follow each other here,repost repost repost while dropping handles. @okello_wifred active now.
5
24
38
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
8 days
Liking another mans photo feels gay as hell πŸ’€πŸ’€.
9
25
40
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Drug addicts wa 4: 20 ni time yenu sasa πŸ’€πŸ’€πŸ˜‚.
4
24
39
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Huyu alikua ananiitia mtaro nkt.
5
19
37
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
21 days
Kuinama tena mungu wangu 🀦🏽 si yesu azaliwe tena kesho ama njaa iniuwe πŸ’”πŸ’”.
4
24
37
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
13 days
Leo nimekuwa roundi mwenda tao kutafta malaya nikapatana na wazimu na mimba πŸ’€πŸ’€ njaa zingine hapana πŸ˜‚πŸ˜‚.
4
23
38
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
20 days
Ndio kuamka wazee napata elon ameniweka ban. πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’”.Lakni hio sio issue,nisipate mtuu ameweka worm yake ovyo ovyo lakni niko na hasira.
2
25
35
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Tangu niland mashamba sijatoa sweater mbele ya watu juu tattoo nilichorwa wakiona nitapelekwa kwa chief πŸ˜‚πŸ’€.
1
29
37
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 months
Tweet media one
51
21
32
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Mama pima ataniua mapema,mtuu anishikie jaba nisizime mapema kama sijapiga nduru walahii 😒😒.
1
20
36
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
3 years
0
0
32
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 days
Good morning fam, mwenye amefungulia hio baridi awache ujinga nkt πŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ₯Ά.
7
24
37
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Watu humeza dawa bila maji fear nothing in this life πŸ’€πŸ’€.
4
20
35
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
8 days
Hii block inakuanga taoni pekee yake ama imefika hadi shaggz juu vile kunaendelea naona nikitorokea huko.
3
20
34
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Eeeeiiiy, huyu profile imepotea na hata saa sita bado nkt πŸ’€πŸ’€.
3
19
32
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Kumbe mashambaa mama pima akishakujua anakupea tuu very nice πŸ˜‚πŸ˜‚.
0
18
31
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
5 days
"Watu wako na pesa hukuwa na shida mingi" wacha ujinga tafuta pesa wachia watu wamashida shida zao πŸ˜‚πŸ˜‚.
2
23
35
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 months
32
17
33
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
29 days
Na hii jua yote utapata kuna mtuu ako juu ya bibi ya mtuu akitwerk in the name of kugongeana πŸ’”πŸ’”.
1
20
32
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Ama niibe nipelekwe jela ndo niwache ndo nipewe kila kitu bureπŸ€”πŸ€”πŸ€”, lakni najua nyinyi blood thirsty maniacs mtanichoma kabla polisi wafike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
3
17
30
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
1 month
Lake side ukishaoga kwa Lake unakaa kwa hizo mawe moto zinachoma makende properly ngotha ikikaukanga pure greatness 😁😁.
3
20
31
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
6 days
Ukiskia mamako amekuambia "huyo mshishana nilikuana na yeye wachana na yeye" jua hapo anakutoa kwa kaburi mzee πŸ’― πŸ’―.
4
16
32
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Self-love is the greatest cheat code in this game called life.🀝🀝.
2
14
29
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Kama bado kuna mtuu anafungua condom na mdomo you have a long way to go πŸ˜‚πŸ’”.
4
17
31
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
2 months
Good morning friends of okelloπŸ‘‹πŸ‘‹.Mshakula ama shida haziwaruhusu 😁😁.
3
19
30
@okello_wifred
Willy_wa nakkss πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡°πŸ‡ͺ
20 days
Road to 5k followers only 10 to go. Drop handles we follow you.Follow @okello_wifred am actively following backπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ.
4
18
30