Antoh_Finnest Profile Banner
Juja_Finnest ™ Profile
Juja_Finnest ™

@Antoh_Finnest

Followers
5K
Following
101K
Media
797
Statuses
49K

@ChelseaFc DIE HARD

Kenya 🏁
Joined July 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
In a world full of many choices, choose yourself💯 ❤️💪.
19
177
237
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Hiyo degree yako haiwezi nunua hii, kununua hii lazima ujifiche Interpol na Disiyai
Tweet media one
9
108
814
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Wacheni wasichana wapende matajiri maisha ni ngumu jameni.
10
166
556
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Huku ushago unabuy data ya 1hr lakini 45 mins ni ya kutafuta network 🤔💔.
14
107
309
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Huku ushagoo wamama wananiona na Earpods wanaambia watoto wao mimi ni agent ya Interpol🤣.
12
95
279
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Ukienda sleepover kwa dem alafu akunyime, kojoa kwa kitanda.
20
122
276
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Hakuna kitu hukasirisha mtu asubuhi kama kwamka alafu ukose pyenga ulibakisha jana😌.
6
72
162
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
10 days
Sina ata wa kuambia sorry I slept!. .
15
72
162
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Keja ni ya mabati lakini mechi ni champion's league.
6
61
154
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Nakwambia tupatane KFC wewe unaingia ndani Feliya!.
66
99
139
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Huyu wa sai naweza wablock nyinyi wote nibaki na yeye tu🫵.
7
64
149
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
10 days
Honestly being alone makes you realize a lot of things.
20
75
149
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Watu wa Nairobi tunateseka huku ushago, unamshwa 3:00 am aty ng'ombe ya jirani imeibiwa 🤔.
10
59
143
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Amka utafute pesa December hakuna mtu atakuwa n 2k urgently.
8
65
136
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Sai unampigia na hashiki sindio! Ameshikanishwa na ukuta anapokea tu strokes.
4
58
137
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Mwenye si type yako ndio anakutreat poa🤌🏾😂.
12
67
137
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
18 days
Day by Day I realize that being alone is not boring, it's peaceful.
6
61
131
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Hakuna watu wako relaxed siku hizi kama mafans wa Chelsea 😅.
11
61
124
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Mimi hushangaa sana n hawa watu hukunyua pombe, like you hampendi chai?.
3
40
122
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Lakini kama bado unakulanga 3 meal 🥣 in a day,my friend sahao kuomoka.
59
70
105
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
If you are lucky don't say others are lazy.
8
55
109
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
In the end promises are just words.
11
64
107
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Si kwa ubaya lakini 2025 kuna watu hamtawai niona na wao tena.
3
45
97
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
6 months
This photo still remains rent free in my mind .#NaneNaneMarch
Tweet media one
20
69
89
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
16 days
Sai kuachwa labda niachwe na Ndege, nmepata mwenye anaita Smartphone touchscreen 😂😂😂.
10
50
99
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Nmekaa kwa nyumba sana mpaka watu kwa ploti wanafikiria nafanya Forex kumbe n kazi sina.
59
67
84
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Watoto wa Yunifasiti mnatoa wapi pesa surely 🤔.
9
54
91
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Next week hakuna vitu zitakuwa busy kama vyombo za wageni pale ushago.
2
50
91
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Making money 💰 is not a joke appreciate anyone who gives you when you ask🎯.
56
71
79
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Vile maisha inanipeleka mbio sahii hata ukohoe mara ngapi kando yangu siwezi kuuliza nini mbaya.
57
63
77
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Pale Eastleigh unapata mtu ameweka "L" kwa Range 2024 model🤔, that is being disrespectful!.
9
48
89
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Walai siku hizi sipati usingizi, kama nmewai kukosea manze pole💔.
44
66
81
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
12 days
"Aty hukai kuwa Mkikuyu" nitembe na githeri kwa mfuko ndio uamini¿.
10
39
89
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Ukinyumwa pesa wacha kutishia watu ati "Hakuna ajuaye ya kesho" kesho ni Saturday na tunalewa na pesa tumekunyima!!.
33
51
83
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Alafu yesu alizaliwa Bethlehem ushago sijui mnaenda kufanya nini.
3
33
86
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Kumbe Arsenal bila corner ni mkebe tu!.
12
29
82
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Wale uncle's mlituambia tukimaliza shule tuwaletee Certificate zetu kwan mlienda wapy, tumengoja sana.
38
57
77
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Ushago ni kuzuri yaani kazi ni kukula tu, mnakula breakfast mki prepare Lunch.
4
46
84
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Huku ushago wamezoea keg mpaka ukibuy pombe ya chupa unatolewa glass mahali zimefichwa 😅.
7
45
84
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Manchester mli hype Amorin miezi mbili . mlidhani ni ye anakuja kucheza🥲.
8
32
80
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Wacha nimtumie "Hi" ya mwisho, hii kitu initoke😢.
4
35
72
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Toka na hiyo thao yako tulewe🍾🥤, hakuna Range Rover ya thao.
45
61
75
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
No situation is Permanent. tokea na hiyo thao yako tujinice.
24
60
77
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
13 days
Donald Trump amekelea Bible chini akaanza kazi Rasmi. Najua mtu aliwekelea Biblia chini akanza kumaliza ma Gen Z's.
2
39
79
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Anyone's who connects you to make money is automatically family!.
3
53
78
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Nakuja Interview alafu mnaniambia aty mtanipigia simu badae sisi ni watu wakubwa mniambie tu ukweli.
31
59
73
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Nshamaliza kupiga general cleaning! Sai nangoja mumama akuje anichukue twende anifunze tabia mbaya.
6
49
75
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Nothing sweeter!!! Than watching God make a way when you didn't know how it would be possible.
4
47
72
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
Si kwa ubaya lakini Peer pressure isifanye upost sherehe ya wenyewe.
0
34
73
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
"we are just Friends" wameongeza karafiki kengine kadogo 🤣🤣.
6
41
72
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Usijifanye unasoma . chunga unaweza fika Fourth year udedi, nani ata graduate.
24
52
67
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Ushago nkisema sikunyui chai ya sukari, naskia huko nyuma nyuma wakisema " si nlikwambia Sukari haipelekani na bhangi".
14
42
69
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
I got 3 rules. Don't lie to me.Don't use me.If you are tired of me, leave me alone!.
16
53
69
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Pale green app kuna morio amelike picha yangu . sijui anataka aje!.
21
41
68
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Walai msinitoke huyu fresher .Ameniambia "blunt" yenye anajua ni ya kifaa butu 😅.
6
41
65
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Mimi ndio ule family member mwenye hapigiangi relatives simu.
4
38
67
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Broke and Ugly Niggahs kama c Mpira na X tungekuwa tushakufa juu ya depression.
24
53
67
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
10 days
Monday ilidhani Friday haitafika. .
9
39
68
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Streets been calling for a long time, we are about to recreate this moment again. #Maandamano .#FreeMoraraKebaso
Tweet media one
4
33
67
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Hiyo mia mbili umeweka kwa mpesa haiwezi nunua Range! Cheza nayo aviator.
6
37
65
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Mathe anasema ninyoe ndevu, mamaa na yeye anasema ziko sawa ntaskiza nani💔🥲.
11
41
62
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Richkid ameona Mama mboga akitoa pesa kwa bra akaniuliza. Is She a magician.
25
40
59
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Nataka Leo nilale mapema ndio kesho niamkie Kanisa, napitia mashida mingi sana.
2
31
63
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
15 days
At first huwa mnadhani hamuwezi achana.
6
36
65
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Huku kwa jirani naskia tu Yes! Yes! Nkama maswali ni rahisi!.
19
36
61
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Huyu Richkid namwekea sturungi ananiambia "Oh, I don't do wine 🍷 in the morning".
5
34
63
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Unadhani unatupea sleepless nights kumbe sisi tunalala Mchana.
14
39
58
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Set limits, not everyone deserves your vibe🎯.
12
42
56
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
6 days
Stay away from people who ignore you until they need you.
5
40
62
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Btw fegi huanga inalewesha ama ?.
10
27
58
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Manchester United nkama ule mtoi kwao ni matajiri but pale kwa shule haoni kitu.
2
32
57
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Sahi kuna mzungu tu mahali amevaa nguo yako ya christmass 🤣🚶‍♂️.
22
47
59
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Story za unakaa wapy unafanya kazi wapi we wacha, kaa kwako🫵.
6
32
54
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
25 days
Wacha niamke sasa mattress itaisha buanaa. .
4
33
58
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
1 month
"Aty Chelsea ni team ya wamama" mamako anacheza No ngapi 🤔?.
7
31
59
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Good morning ladies and gentlemen. Thankful for the real ones in my life.
13
44
57
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Sisi wanaume si kama madem tukiachana after sherehe, mambo ya kusema ulifika achana nayo kama hukufika tutajulia kwa Tv.
0
27
58
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Unaingia dm kutupa mistari alafu kuna mwingine anarusha Dollars 💵 ,hamuezi fanana!.
12
32
55
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
18 days
Siku moja ntamka niende ninunue gari🚗.
10
35
58
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
When a Man treats you well, it becomes a pleasure to take care of him in return.
1
37
56
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
3 months
Unadance Mapangaléé na hujapanga maisha yako. Feliya!.
5
41
53
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Concern kubwa ya wazazi ni "mbona huna bibi" hapo kwa pesa unajipanga.
20
42
55
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
27 days
Naona kila mtu anasema 2025 is the year. kwani mnataka nani ateseke?.
2
32
56
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Colgate imechorwa meno.Kiwi imechorwa kiatu .Shida ya watu wa Always ni gani.
13
30
55
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Nataka nipige sherehe ya mwisho alafu sasa nijipeane kwa Nyasaye 2025🗓️.
6
22
53
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Kenya nkama tuko drama festival walai 🤔.
5
34
55
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Ni wiki ya tatu bila kuona mia tano hivi na macho yangu 😭.
7
22
52
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Dem anakunywa uji power 🚩🚩🚩🚩🚩🚩.
12
34
52
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Team nahurumia sana leo ni Manchester City. .
6
30
50
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Life is too short take out 150k from your bank, go out there and spoil yourself.
10
27
49
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
5 months
Umelala sahi na kwenyu hakuna ata mtu anajua kucheza Golf ⛳, Feliya!.
8
30
51
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Unaweza pata ni wewe pekee yako haulipwi kupost memes 😭.
5
27
51
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
2 months
Dm me if you want to be my cousin. I'm starting my own family from scratch.
3
30
51
@Antoh_Finnest
Juja_Finnest ™
4 months
Elo! Eloi! Nmebaki na 30 mbele nyuma 💔😥.
15
42
52