mtu_porii Profile Banner
Smoker πŸπŸ’¨ Profile
Smoker πŸπŸ’¨

@mtu_porii

Followers
310
Following
9K
Statuses
541

Mbeba Lawama|| @SimbaSc ❀️|| @ManchesterCityπŸ’™

Tanzania
Joined October 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
4 years
Chunguza kwa umakini sana watu wanavyobadilika pale wanapokosa kile wanachohitaji kutoka kwako✍️✍️✍️
0
0
2
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
7 hours
@anuskills3 "Demu wako atakuonesha text za Wajuba asiowapenda"
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
12 hours
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
13 hours
@Captain_almando @millardayo Hii sio sawa aisee!
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
13 hours
@KiswahiliW48827 @Josephmaro8 @millardayo Kwahiyo Mwalimu, unataka kusema Sheria inaruhusu ufisadi?
1
0
1
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
16 hours
0
0
1
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
16 hours
@comanchechiefIV @McinikaWaLamar @SylvanusMgashe Mimi ninae ndugu yangu kila nikimpigia baada ya salamu huwa ananiuliza "enhe, una shida gani?" Nikajisemea kwamba huyu anahisi nahitaji msaada toka kwake. Nikamkatia waya mazima.
1
1
2
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
17 hours
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
17 hours
1
0
1
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
18 hours
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
18 hours
0
0
1
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
18 hours
Tweet media one
1
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
18 hours
@prossoff @THECALVIN24 Upo sahihi Man, ila alichokosea Damian ni kuscreen shot na kuipost mtandaoni. Kama hakuwa na mpango/uwezo wa kumsaidia ni bora angevunga tu mambo yakaishia huko kuliko kuleta mtandaoni.
0
0
3
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
18 hours
@prossoff @TanzaniaOneJezi Dah! πŸ˜‚
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
19 hours
@iamdamiano22 @SharifaSabrina Unafeli sana mzee!
0
0
2
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
19 hours
Tweet media one
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
20 hours
@EmmanuelCh5381 @Danny_metatron @bonifacejoseph_ Fanya tafiti kwanza ili siku nyingine usibishane bila fact bro!
1
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
2 days
@McinikaWaLamar @millardayo Millard anazingua sana. Iweje Taatifa inahusu watu yeye anaweka mito?
0
0
4
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
2 days
@Danny_metatron @EmmanuelCh5381 @bonifacejoseph_ Watu wengi wanapenda kubisha vitu bila ya kuwa na facts. Ona sasa jamaa kapotea kama Mbosso Khan!
1
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
2 days
0
0
0
@mtu_porii
Smoker πŸπŸ’¨
2 days
@EsirEid Nikashangaa inakuwaje kanikubali chapu kiasi kile aisee kumbe nipo kwenye target 🎯
1
0
1