![ISRAEL MAESTRO Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1752337697417412609/VYg5o7Xg_x96.jpg)
ISRAEL MAESTRO
@mgimba_israel
Followers
657
Following
2K
Statuses
20K
Farmer, FC Barcelona & Al ahyl Cairo fan
Songea, Tanzania
Joined February 2021
@gida_jk @YoungAfricansSC Sio kazi yangu kujua ila ninapoona kitu hakipo sawa nina haki ya kutoa maoni
2
0
1
@Dada_baheart @YusuphMbilinyi8 Sasa mtu wa medical field unafikiria umfungulie kesi mwenzio kisa kasahau kuomba Consent? Au hujui kama mambo ni mengi ukiwa job?
1
0
0
@Dada_baheart @YusuphMbilinyi8 Sema nayeye aliyumba kuwaambia, waTanzania wengi ni wagumu kuelewa ilitakiwa afanye kimya kimya tu atulie
1
0
0
@Mdunguaji23 @EsirEid @rollymsouth Sasa huo ni uboya yan unaogopa kumfumania mkeo kisa hutaki ndoa ivunjike 🤣🤣
1
0
0
@Dada_baheart @YusuphMbilinyi8 Kwaio ingekua mtoto wako kaathirika ulitaka na nesi aathirike kwa kumsaidia mwanao?
1
0
0
@EsirEid @INFLUENCERjr Yan hapo inatakiwa uyo mama yake pia awe anaMuheshimu mume wake, maana kuna mabinti wanalelewa na baba na mama ila mdingi mwenyewe anadharaulika kinoma
0
0
3