George Maguzu
@maguzuh
Followers
263
Following
63
Statuses
930
@lifeofmshaba Mlitumia kila aina ya hila na fitna dhidi ya FAM, mlidhania watu watasamehe kirahisi tu..mtavuna mlichopanda tulieni dawa iwaingie.
1
0
0
@IAMartin_ Wakati FAM yuko bungeni hukuzihoji hizo gharama kabisa au hazikuwepo kipindi kile...
0
0
0
@denhope26 @EmmausAskofu Wanataka mwenzao afanye vitu ambavyo wao wenyewe hawawezi kuvifanya..
0
0
0
Ukikataliwa kuingia nchi ya watu sio lazima upewe maelezo..nchi yeyote huru inayo mandate ya kumruhusu au kumkatalia mtu yeyote kuingia kwa kadri watakavyoona wao inafaa..
Kwani nini kinaendelea kwenye Serikali ya Rais Samia? Kwanin wamemshikilia Mbunge wa Kenya Babu Owino kwa masaa matatu halafu wamemzuia kuingia Tanzania. Kosa lake ni nini haswa?
0
0
0
@OlengurumwaO Kama Mikoa ya Kagera na Kigoma ingekuwa na madini pengine TZ ingekabiliana na tatizo hilo hilo..
0
0
0