![Eighty One Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1462076835047653377/MOM1ogMS_x96.jpg)
Eighty One
@john_salamba
Followers
84
Following
2K
Statuses
1K
@Mwanahalisitz Ama kweli ni zama za siasa mpya.Haya yote nilikuwa siyafahamu.Heko kwako mwenyekiti mpya.Nafikiri tumeanza kuona faida ya wajumbe kubadiri viongozi kwenye vyama vya siasa.
0
0
4
@godbless_lema @TunduALissu Hapo sawa kabisa namuona TL ameanza vizuri.kukutana na hiyo mashine ni barabara kabisa,akitoka hapo aende kwa Butiku.
0
0
0
@DrFatmaPanAfrik @MariaSTsehai @ortamisemitz Kumbe ni wa mtu flani basi tuishie hapo mkubwa.Huko ndo maana halisi ya kutofautiana,tusitukanane.
0
0
0
RT @NamdiAzikiwe: “Usishindane na Tundu Lissu, Mungu ana agenda kwenye taifa hili kupitia yeye.”… Mchungaji
0
122
0
@godbless_lema Kwahio Lema unaniambia nisiwe nabeba toothpicks kwa mfuko dah Umenivuruga kabisa.
0
0
0
@I_retweet32 @MariaSTsehai @ortamisemitz Alishatia block lakini tofali zitampata tu.kama unataka usikosolewe tafuta dunia yako.
0
0
0
@WKazinja84310 @MariaSTsehai @ortamisemitz Wewe ni walewale,unataka niungane na wewe kitoiamini mahakama?Basi unda kikundi cha uasi itakusaidia.
1
0
0
@MorrisonMs98606 Hivi wewe na taaluma yako ya sheria unaweza kuituhumu serikali imeruhusu mtu amiliki kikundu cha sungusungu unaamini kwamba hakuna chombo cha kuweza kuchukua hatua dhidi ya unyasasaji anaofanya.Nimekunyoshea mikono!Kumbe kijana wa kikurya ni laini hivi
0
0
0
@MorrisonMs98606 Toa ushauri tukimbilie wapi kama sio mahakamani.Mwenyekiti anatuhumiwa kuwa na kikundi cha su ngu×2 kinapiga na kuumiza watu.Unataka twende porini kuwindana au mahakamani.Ushabiki sometime ni ujinga tu.
0
0
0
@ShedrackRi54114 @MariaSTsehai @ortamisemitz Hata mimi bado nina umri wa kutukana na siwezi kuwa mbwa koko Fala.Nilichojaribu kufafanua ni kwamba mwenyekiti amefanya uhalifu kwanini ilaumiwe serikali?kwanini aliyetendewa asiende mahakamani?Tusipoenda mahakamani tukimbilie wapi.Acha usenge.
1
0
1
@Ndolezi_Petro @SemuDorothy Tutashindanisha Ilani mbili tu ya CCM na CHADEMA.Wengine mtupumzishe utitiri wa wagombea na ilani zao hatuhitaji.Nawakilisha wapigakura wa October 2025.
1
0
0
@MariaSTsehai @ortamisemitz Kiongozi wa kikundi cha SunguSungu hahusiani na Serikali wala si Kiongozi anayechaguliwa na mifumo ya kikundi cha kijadi ambacho kinahusiana na kijiji wanataratibu za kiulinzi wa kijadi katika maeneo yao.
1
0
0