jabiri_makame_ Profile Banner
Jabiri Makame Profile
Jabiri Makame

@jabiri_makame_

Followers
39K
Following
19K
Statuses
607

Concerned citizen of URT๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Passionate abt serving people, #SDGsChampion13 @urithiwakijani Gairo District Commissioner

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
11 days
RT @SuluhuSamia: Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Muhammad Iddi (Abuu Iddi), Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mwinyiamani, Mshauโ€ฆ
0
284
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
4 months
RT @jmkikwete: Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Jenerali David Bugozi Musuguri, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi waโ€ฆ
0
159
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
9 months
We are Proud of our President
@akin_adesina
Akinwumi A. Adesina
9 months
A great leader: Thank you President โฆ@SuluhuSamiaโฉ of Tanzania for your incredible leadership that led to the success of the clean cooking summit in Africa held in Paris. The world heard you and rallied with $2.1 billion. You are a gem for Africa! We trust your leadership.
Tweet media one
Tweet media two
1
0
5
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
9 months
RT @SuluhuSamia: Heartfelt thanks to my Co-Chairs @fbirol Executive Director of @IEA, Norwegian Prime Minister @jonasgahrstore and @AfDB_Grโ€ฆ
0
213
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Pumzika kwa amani Mzee wetu, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Ahsante kwa zawadi ya maisha yako yaliyosheheni mafunzo bora ya Siasa na Uongozi. Daima tutazienzi fikra zako ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
0
1
5
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Kupeleka timu 2 robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika ni heshima kubwa kwa Taifa letu, ni kielelezo Cha Ubora na Ukuaji wa Ligi yetu, na ni matokeo ya hamasa kubwa na msukumo unaotolewa na Rais wetu Mhe Dkt @SuluhuSamia Hongera Tz, Hongera @YoungAfricansSC & @SimbaSCTanzania
Tweet media one
4
0
12
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
RT @ikulumawasliano: Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars jioni hii kwa njia yโ€ฆ
0
129
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Happy New year Comrades
0
0
1
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Hongera sana comrade na tunakutakia kila la heri katika kumwakilisha Vijana kwenye jukumu hili muhimu kwa Tanzania ya Miaka 50 ijayo.
@ZMuhaji
Zahoro Muhaji
1 year
Napenda kumshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kuridhia, Mhe Waziri @kitilam kuniteua kua mjumbe wa kamati ya kitaalam ya kuandika Dira Ya Taifa 2050. Wameonyeosha imani kubwa kwangu na natambua nimepewa dhamana kubwa kuwakilisha vijana wenzangu. A Tanzanian Dream in a making๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1
0
1
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Dr. Salim Ahmed Salim: an African transformational leader and a consensus builder #TheDiaryOfDrSalim
0
0
3
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
๐†๐š๐ข๐ซ๐จ ๐Š๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐จ ๐๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐„๐ฑ๐ก๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข๐จ๐ง & ๐Š๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐จ ๐Œ๐š๐ซ๐š๐ญ๐ก๐จ๐ง #October 10-14, 2023
1
1
4
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
Alhamdulillah! #TukutaneIvoryCoast Tanzania imefuzu kwenda kwenye Michuano ya AFCON. Hii ni mara ya 3 kwa Tanzania kufuzu kushiriki katika Michuano hii. Hongereni sana Vijana wetu wa Taifa Stars. #Tumetoboa #KaziInaendelea
Tweet media one
0
0
12
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
๐ƒ๐š๐ซ๐š๐ฌ๐š ๐ฅ๐š ๐”๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐Œ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ง๐š๐ฆ๐›๐š ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ฐ๐š ๐”๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐Œ๐ก๐ž. ๐ƒ๐ค๐ญ ๐’๐š๐ฆ๐ข๐š ๐’๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐‡๐š๐ฌ๐ฌ๐š๐ง Uongozi ni Utumishi wa Watu... Mahusiano ktk Uongozi.... Upole si Ujinga....... Fikiri Kabla ya kutenda/kuamua....
0
0
4
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
RT @Nnauye_Nape: This Government remains fully committed to democracy and the rule of law, but will not make any compromises against breachโ€ฆ
0
12
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
RT @Nnauye_Nape: The Government of the United Republic of Tanzania will continue to uphold freedom of expression, peaceful assembly and allโ€ฆ
0
14
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
1 year
RT @Nnauye_Nape: TANZANIAN GOVERNMENT RESPONSE TO INACCURACIES IN REPORTS ON ARRESTS OF CRIMINAL SUSPECTS IN TANZANIA It has come to my attโ€ฆ
0
58
0
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
2 years
๐‡๐š๐ฉ๐ฉ๐ฒ ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ง๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐˜๐จ๐ฎ๐ญ๐ก ๐ƒ๐š๐ฒ 2023. "๐บ๐‘Ÿ๐‘’๐‘’๐‘› ๐‘†๐‘˜๐‘–๐‘™๐‘™๐‘  ๐‘“๐‘œ๐‘Ÿ ๐‘Œ๐‘œ๐‘ข๐‘กโ„Ž: ๐‘‡๐‘œ๐‘ค๐‘Ž๐‘Ÿ๐‘‘๐‘  ๐‘Ž ๐‘†๐‘ข๐‘ ๐‘ก๐‘Ž๐‘–๐‘›๐‘Ž๐‘๐‘™๐‘’ ๐‘Š๐‘œ๐‘Ÿ๐‘™๐‘‘" #happyinternationalyouthday #greenskillsforyouthtowardsasustainableworld #climatechange #urithiwakijanigairo
Tweet media one
0
1
9
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
2 years
@MkindiJackie @USAIDTanzania @USAmbTanzania @usembassytz @taha_tanzania @anthonytza @hendry_yohana @TahaTaric @KelvinRemen @SAGCOT @GeofrreyK Congratulations Dr. @MkindiJackie for your visionary leadership in horticultural sector in Tz. Gairo is looking forward to benefit from this huge project.
0
0
2
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
2 years
Shukrani Rais wetu Mhe. Dkt @SuluhuSamia kwa hamasa kubwa unayotoa katika Sekta ya Michezo. Sekta ya Michezo inakuwa kwa Kasi nchini na chini ya Uongozi wako tutashuhudia timu zetu zikifanya makubwa Afrika na Duniani.
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
2 years
Ahsanteni wana Simba kwa kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu muhimu hii leo. Hongereni kwa siku nzuri. Pongezi kwenu kwa kuendelea kutangaza utalii wa nchi yetu kwa kufikisha kibegi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Michezo inatuleta pamoja, inatupa burudani, na kudumisha amani na utulivu, lakini pia inachagiza katika kukuza uchumi wa nchi yetu. Tumekuwa na mwamko na mafanikio makubwa katika michezo miaka ya karibuni. Mbali na Klabu ya Yanga kutinga fainali za Kombe la Shirikisho; Tembo Warriors, Kilimanjaro Queens na Serengeti Girls wametuwakilisha vyema kimataifa. Ahadi yangu ya hamasa ya kununua kila goli katika mashindano ya kimataifa itaendelea. Mbali na Serikali kuendelea kuwekeza katika michezo, natoa wito pia kwa sekta binafsi kufanya hivyo. Nchi yetu ina mazingira mazuri ya kufanya biashara, na michezo ni moja ya eneo muhimu kiuwekezaji.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
5
@jabiri_makame_
Jabiri Makame
2 years
Rais Mhe Dkt @SuluhuSamia amefanya yote yanayopaswa kufanywa na Kiongozi wa nchi kuonesha mapenzi yake na kiu yake kuona Tz inapata heshima kubwa katika ulimwengu wa soka. Hivyo, wanamichezo wetu watambue kwamba wana deni kubwa kw Taifa, wananchi, na mama anawadai #kaziiendelee
Tweet media one
1
0
14