bacteria1st Profile Banner
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’― Profile
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―

@bacteria1st

Followers
2K
Following
12K
Statuses
13K

FxπŸ“Š

Tanzania
Joined October 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
2 minutes
@Neypaul01 na wewe usituchoshe ebu toka hapa. Mungu anasikia maombi ya watu wake muda wowote pia imeandikwa,, Twajua ya kuwa Mungu hasikii maombi ya wenye dhambi bali wamchao. Ukiwa mtu wa njia nyingi maombi ni kelele tu kwa Mungu.
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
9 minutes
0
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
9 minutes
@dodoma360 @Beki_Mfungaji facebook wateja wapo wengi sana.
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 minutes
@BabuuAlu @dodoma360 @Beki_Mfungaji kabisa tena ni chap sana mkuu, fb biashara ipo.
0
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
13 minutes
@EsirEid Shida yako tajiri una deti na mademu masikini, mimi nisha wai kuwa na dem ambae kwa miaka zaidi ya mitano hajawai omba hata mia. Cha zaidi tulikuwa tunapeana zawadi tu na kila mtu alikuwa good financial. Ukiwa na hawa wapata shida lazima uumize kichwa kutunza mtu sio mke wako.
0
0
2
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
9 hours
@PedroLifondre @shadradeen Ni hatari sana mzee wangu
1
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
9 hours
@MiriamMkanaka Ukifika miaka 30 akikisha upo hai tu inatosha kabisa, nilipo kuwa na 24 nilikuwa na kampuni yangu ya mambo ya fashion na branding, hakika hela nilipiga sana. Baadae nikaona nikaongeze kaelimu kidogo hivyo nikawaachia watu ninao waamin na kuwapenda wa run kampuni, KOSA KUBWA SANA.
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@PedroLifondre @shadradeen hahahah ni noma
1
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@blazadadee2 Mambo ya kucheza na nyota haya man, vijana wanaangalia wakati uliopo tu.
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@MalemboLE ni sports na udaku
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@Mrs_Pappi πŸ˜€πŸ˜€
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@shadradeen hahah ni noma mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
2
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@fredkavishe maisha hayana formula hutakiwi kujilimiti kwa muda wala umri vinginevyo utakuwa disapointed sana..
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@EduTalkTz Mziki wa marekani wa siku izi hauna amsha amsha., imagine hii show wangemweka msanii wa zaman kama Sisqo au Buster.
0
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
10 hours
@EsirEid Tajiri kumbuka siku nyingine kuwa manzi akiwa na post zaid ya kumi na 10 kwenye social media yake au ana followers zaidi ya 500 inatakiwa ukae mita 200 nae labda kama huna mpango nae mnabadilishana Virus.
1
0
2
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
1 day
@EsirEid kila mtu na dreams zake,, kitu cha kwanza ni gari kali then mambo mengine yafuate.
1
0
1
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
1 day
@bonifacejoseph_ negotiate na jamaa akupe iyo simu, sio kila kitu mbaka polisi. Jama si amekubali simu anayo na namba yake unayo.
0
0
0
@bacteria1st
π”Ήπ”Έβ„‚π•‹π”Όβ„π•€π”ΈπŸ’―
1 day
@LilianLevelian ombaomba wenye standads hawataki fanya kazi wakitegemea klito'currency wapate wepesi wa maisha. Shida sana kutokea familia masikini mapenzi yanakuwa kitege uchumi balada ya kushare feelings only
0
0
5