
Patrick John Assenga
@PatrickJAssenga
Followers
78K
Following
21K
Media
4K
Statuses
11K
Mwanachama wa CHAUMMA. Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea 2019-25| Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |
Rombo Tanzania
Joined September 2020
Hii ilikuwa ni ROMBO 2020, MAGUFULI bila AIBU akapindua MAAMUZI ya WATU wote hawa. siku sio nyingi tutafanya MIKUTANO ya HADHARA kuyashakuru MAELFU yote haya kwa KURA zao za UAMINIFU 🙏✌️
30
65
302
Jukwaani ni Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma, Salum Mwalimu akihutubia Maelfu ya Wananchi katika Mkutano wetu wa Hadhara Usariver Arusha Leo. Tunaendeleza tulipoishia. #TunaendeleTulipoishia .#C4C
103
13
244
Msibadilishe Jenerali katikati ya vita. Haya Maneno ya muasisi wa CHADEMA na yenyewe yametimia. @JamesMbowe4
137
25
212
RT @PatrickJAssenga: Ahsanteni sana MPANDA MJINI. #CHAUMMA inaendelea kuchanja mbuga. #C4C.#TunaendeleTulipoishia
0
9
0
Hapa ni Nyumbani ROMBO MAMSERA, umati huo sisi ndo TULIUPA IMANI hapo nyuma. Tuliujenga hatua kwa hatua, Tunakwenda KUANZIA tulipoishia.
Wananchi wa Mamsera, Rombo wasimamisha msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn wakitaka kupokea ujumbe wa #NoReformsNoElection.
178
55
576
RT @JonMrema: Sifa mojawapo ya kuwa Mwanachama wa CHAUMMA kwa mujibu wa Katiba ni lazima uwe unaamini uwepo wa Mungu, Katiba ibara ya 10(b)….
0
11
0
RT @JonMrema: TAARIFA KWA UMMA . YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAW….
0
47
0
RT @MwitaJulius2000: 🚩 Anaandika Mh Johnrema @JonMrema Mkurugenzi Mstaafu wa Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa @ChademaTz .KWA HESHIMA….
0
9
0
RT @JonMrema: KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR.RUGEMELEZA NSHALA ,GROUP LA MASWALI MAGUMU : . Mwanasheria Mkuu w….
0
38
0