![Jon Mrema Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1212341259764994048/aULLCyDk_x96.jpg)
Jon Mrema
@JonMrema
Followers
213K
Following
3K
Statuses
5K
Former Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2014
Kwamba hujui kuwa Chasambi kasajiliwa Simba au unamfananisha na yule wa Jana aliyepiga katikati ya uwanja ? Kajopange,maana kesho utakuja na hoja ya Kagoma!
Na ole wenu mumtishie kijana wetu Chasambi. Chasambi alisema kuwa hapo Ukoloni hana role model. Akasema role model wake ni Maxi Nzengeli. Kimsingi Chasambi ameona haoni wa kumwamini kwenye timu mbovu hiyo akaona akapiga kwa kipa kumbe nae hamna kitu π
6
3
35
@calvinElchapo Hakuna anayemkomoa mtu ,soma ujumbe wangu then uuelewe na nilikuwa namjibu Wakili Mwita !
1
0
1
Jaribio kama hili lilifanyika Mwaka 2016 wakati inatungwa sheria mpya ya habari , lilishindwa kufanikiwa baada ya wabunge wa Upinzani waliokuwa Bungeni kipindi hicho kupaza sauti na kukataa ! Leo wako peke Yao huko Bungeni sitashangaa wakapitisha sheria hiyo na Taifa kuwa na Mhariri mmoja wa vyombo vyote vya habari ! Kwamba Karne hii ya social media Kuna Mbunge anawaza kuhariri habari za saa mbili usiku ,wakati watu wanakuwa wameshapata habari hiyo ilivyo kikamilifu Tena Mubashara ! Wabunge wa aina hii wanadhani tupo enzi za Giza ! Wanatia aibu sana watu wa aina hii! Zama zimepita za kusubiri taarifa za habari !
57
46
223
@BabaMwita Sikutaka kukujibu ila mamlaka ya kufukuza mwanachama yapo kwenye TAWI na Kamati kuu !
19
2
45
RT @freemanmbowetz: Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Jaβ¦
0
3K
0
Kwamba Msajili aliwahi kutishia kufuata Chama ! Sababu ilikuwa ipi ? Unamtuhumu Wenje kuwa MUONGO na wewe unaandika uongo ? Ukiwa MUONGO usipoteze kumbukumbu ! Haya soma Ufafanuzi wa Katibu Mkuu unaenda kinyume kabisa na haya maelezo Yako! Hivi kufanya au kutofanya Baraza kuu ni sababu za Msajili kufuta Chama ? Kujadili rufaa au kutojadili rufaa za wabunge 19 ni sababu za kufutwa Chama ? Kweli ushirika wa wachawi huwa haudumu !
Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo. Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche. Tulihamasisha kukusanya fedha kwa ajili ya Baraza kuu kwa kuwa msajili alitishia kukifuta chama , Wala sio kufanya mapinduzi. Kwa kuwa umetaja jina langu, nitatoka na ushahidi mzito kuhusu wewe ili watanzania wajue ulivyo mjinga.. Siko kwenye chama chenu, lakini nitaweka mambo sawa kuwasaidia watu wakujue..
133
14
129
@JosephC85099765 @jjmnyika @ChademaTz @freemanmbowetz Afisa Huko Sweden , Ubalozini, Kipenyo! Unajua tulikutana Ujerumani ukiwa Mwambata! Kama Mwita, Catherine Ruge Leo ni wachagga ,barikiwa!
7
1
6
RT @fatma_karume: Thank you ππΎ kwa nyote na kwa aliyehakikisha my darling Maria is safe. Nimeambiwa karudi nyumbani. ππΎππΎππΎππΎ https://t.co/β¦
0
591
0