![PM Sebastian Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1831638633507409920/oI0WQb1D_x96.jpg)
PM Sebastian
@PM_Sebatz
Followers
75
Following
321
Statuses
2K
Highly energetic and GOD reliant 🙏
Kilimanjaro, Tanzania
Joined December 2023
@nyuki_malkia Jamani acheni kugeuza vyakula vyetu kuwa dawa,,,,hatutamudu na KWARESMA na Ramadhani zaja. Mbona Nyagiko bado inafanya vizuri tu 🫣🥴
0
0
0
@tanpol Nilikuwa nashangaa,,,Odds kweli?! Yaani kuna mtu hataki odds nchi hii?! Au kumpa/kumuuzia mtu odds ni kosa la kisheria, eti.
0
0
0
@CloudsMediaLive @CCMTanzania Yeye mwenyewe anasemaje kwani?! Usikute wakati madaktari wanamchunguza alikuwa amelala,,,aliposhtuka akakuta wanahitimisha,,,ok fit. Akawashukuru,,,asanteni sana vijana wangu. Mnafanyakazi takatifu, ngoja nikaongee na mama. Kusikia hivyo madaktari wakaongezea,, OKAY, FIT 🤣
0
0
0
@SkySportsPL Thank You Lord 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 Just for Havertz to miss the rest of the season. GOD is Great.
0
0
0
@ududuuzovya @JohnNgutiCDM Mlikuwa mnacheza wapi!! Mbona mmekuwa wakali hivyo?! Kuna kitu wamewafanya tu. Ndivyo mama ake alivyosikika
0
0
1
We're waiting, Mr. Chairman
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #StrongerTogether
0
0
0
RT @John_Pambalu: Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba…
0
57
0