LuchioMbifile Profile Banner
Luchio Felisi Profile
Luchio Felisi

@LuchioMbifile

Followers
98
Following
2K
Statuses
668

amazing 😁

Njombe Tanzania
Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@DrMeku @godbless_lema Kwaio unafurahia chama kuwa omba omba!?
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@nelson_wagwan @godbless_lema Mbona unafananisha mbingu na ardhi mkuu, uliona wapi Trump anachangisha kununua gari yake binafsi?uliona wapi Trump anachangisha kugharamia uchaguzi wa ndani ya chama!?
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@nelson_wagwan @godbless_lema Mkuu kuna namna wanachama wanaweza kutoa mchango indirect, na chama kikabaki na akiba kuliko kutembeza bakuli hivi kila saa, chama omba omba kuna siku kitafika bei kwa mabeberu
2
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@nelson_wagwan @godbless_lema Chadema imezidi mkuu, pamoja na fikra Zangu mfu lakini naona ipo haja ya chama kujitegemea
1
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@King_davd_ii @godbless_lema Tusijifananishe na ccm tutengeneze mikakati ya kwetu chama kijitegemee
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
1 hour
@Gloryjobeg @godbless_lema Mimi ni chadema
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@hamis_semindu @RollandCruz5 @godbless_lema Huku CHAUMA hatuchangishani michango hivo na ubwabwa tunagawa kwenye kampeni 😁
1
0
1
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@Jayeletronika @godbless_lema Wanachama wake, kwa sababu ndo wenye chama
1
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@hamis_semindu @godbless_lema Sawa hatukatai michango, lakini basi uongozi utuoneshe mipango mikakati ya kuongeza vyanzo vya mapato ili chama kijitegemee
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@hamis_semindu @RollandCruz5 @godbless_lema Hii chadema imezidi tuache kudanganyana aisee
1
0
1
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@LogicAnalyst_ @godbless_lema @Leah_M_Mollel Tupo nao apa usiku na mchana
0
0
1
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@RollandCruz5 @godbless_lema Hawataki kusikia maneno kama haya wamejaa propaganda tu na porojo
0
0
1
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@nake1006 @godbless_lema Lakini sio kama CHADEMA, hawa kila kitu wanaomba,hii ni hatari sanaa
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@Salamaenrich @godbless_lema Nachangia kwa uwezo na nafasi yangu, lakini sifurahishwi na kuomba omba bhanaa
1
0
1
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@King_davd_ii @godbless_lema Kikubwa chama kiache kujiendesha kwa kuomba omba
1
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@LogicAnalyst_ @godbless_lema @Leah_M_Mollel Tupo nao pamoja mpaka watekeleze ahadi
1
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
@CpbBOB @godbless_lema Sio biashara ila kuna namna chama kinaweza kutengeneza pesa kupitia wanachama wao, kwa kupitia kulipia kadi,ubunifu nk
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
2 hours
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
4 hours
@Baraka07461019 @godbless_lema Sijui hii sera yao imepotelea wapi tena
0
0
0
@LuchioMbifile
Luchio Felisi
4 hours
@Salamaenrich @godbless_lema Kuhusu mm kuchangia ni suala binafsi na huwa nafanya hivo mara kwa mara. Natamani viongozi wapya waje na mkakati wa chama kujitegemea, chama omba omba kuna siku kitafika bei kwa mabeberu
1
0
1