DrMeku Profile Banner
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό Profile
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό

@DrMeku

Followers
961
Following
52K
Statuses
17K

Shabiki wa Young African SC, MWANANCHI.

Bustani ya Mungu
Joined April 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
3 years
SOCIAL MEDIA CAMPAIGNS (Kwa beginners) - Part 1 Inawezaka umewahi kusikia mara kadhaa watu wakiongelea β€˜Social Media Campaigns’, pengine ukahisi ni li-jibwana likubwa saana, NIKUTOE WASIWASI. Uzi huu tutaangalia 1. hizi β€˜campaigns ni nini, 1/ #UZI #OngezaMaarifa
1
9
17
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
4 hours
@EggleVuvu @CAFCLCC Kajifunze kwanza tofauti ya L na R, halafu uje tuongee mpira.
0
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
4 hours
@LuchioMbifile @godbless_lema Japo hujajibu nilichouliza. Ila, chama cha siasa lazima kiwe na wanachama wa kuchangia, sio 'kijitegemee'.
0
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
7 hours
@EsirEid Kama kijana ukiona kichwa chako sio cha biashara, basi wekeza kwenye mifumo ambayo itatengeneza wealthy kama, mutual funds, stocks, bonds, nk. Kikubwa, kizazi chako kisianze 1 tena.
0
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
7 hours
@thomasjkibwana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
0
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
7 hours
@LuchioMbifile @godbless_lema πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… chama kijitegemee kwani ni profit making company hiyo bro?
1
0
1
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
8 hours
RT @CAFCLCC: Ranking these 10 goals was no easy feat. πŸ₯Ά Enjoy the top goals of the 2024/25 #TotalEnergiesCAFCL group stage and let us know…
0
50
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
8 hours
RT @Mwitah_tz: Serikali imepanga kuanzisha minada ya kimataifa ya madini katika miji ya Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam itakayofanyika ki…
0
19
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
9 hours
@thomasjkibwana Uchaguzi unafanyika kama kawa bila zuio la aina yoyote. Sijui kwanini wanajiliza, wapambane hadi jasho la mwisho, ila kuzuia uchaguzi hawataweza kwakweli.
0
0
1
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
9 hours
@IsaacKuya40215 @thomasjkibwana Nini umuhimu wa "reforms"? Waandikie CCM wajifunze kwako.
0
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
13 hours
@SongalimiJ @priscamarandu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sijasikia vizuri swali vizuri nipo kwenye kelele, ila, itakuwa hujakosea.
1
0
1
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
13 hours
@SongalimiJ @priscamarandu Sababu kuna mkataba wa kulinda haki za aina hiyo ya wapenzi. Kama haki yao ilikuwa inavunjwa, kwanini isiseme sio msimamo wa serikali?
1
0
1
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
14 hours
RT @YoungAfricansSC: Timu Ya WananchiπŸ”° #DaimaMbeleNyumaMwiko
Tweet media one
0
97
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
18 hours
RT @SalumAwadh: Invest in Mwanza - here are the opportunities Overview 1. GDP: $4.7 billion 2. Population: 3.7m 3. Annual GDP growth: 5.4…
0
82
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
18 hours
RT @Mwitah_tz: Umewahi kusikia kuhusu mradi wa kiwanda cha Sukari-Mbigiri ? Inawezekana hujawahi maana media zetu wakati mwingine zina vipa…
0
28
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
1 day
RT @YoungAfricansSC: πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ KMC FCπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 14.02.2025 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:15 Jioni #TimuYaWana…
0
75
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
1 day
RT @MsigwaGerson: Dodoma mpo tayari?????
0
40
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
1 day
RT @BroBabuu: @DrMeku Ukifanya ukiwa unajua ni sahihi ila kama unanunua na hujui iko overpriced ni hatari zaidi
0
1
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
2 days
@knockertz Kila timu ni bora mpaka itakapocheza na Yanga.
1
0
0
@DrMeku
Dr. Meku πŸ‡ΏπŸ‡Ό
2 days
@BroBabuu Unakuta mtu ananunua hisa ya thamani ya sh 200 kwa bei ya 3000 πŸ˜…. Utafiti muhimu saana.
2
0
2