JTalent6 Profile Banner
FikraYenyeNuru Profile
FikraYenyeNuru

@JTalent6

Followers
4K
Following
256K
Statuses
35K

My soul/My strength/My wise Its gift of Nature🙏/Entrepreneur My Career/A happiness is a Basic of Smile☺ Keep Going...

Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JTalent6
FikraYenyeNuru
4 years
Wanaume tunapitia wakati mgumu sana kuna wakati unaondoka nyumbani unaiacha familia pasipo kuwa na chochote ila kwasababu wapo wanawake wanaotupenda wanatuvumilia na kutuombea ili tupate uwezo wa kuwapa mahitaji kwa wakati
11
40
201
@JTalent6
FikraYenyeNuru
40 minutes
@Phbhimself Hii ndiyo thamani ya kutanguliza hekima kwenye kila jambo
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
54 minutes
@SimbaSCTanzania Katika mzunguko huu wa pili ushindi ni muhimu zaidi ya vyote nidhamu kubwa inahitajika wakati wote
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
2 hours
@MarekaMalili Kibano takatifu
0
0
2
@JTalent6
FikraYenyeNuru
2 hours
@Ujuguhapa Labda kama kuna makundi
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
2 hours
@Chezalive Pale OT akapotea kabisa isivyokuwa bahati
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
2 hours
@BracuszCadabra Kuna timu ilitaka umtaje bleach boy
0
0
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
16 hours
RT @SimbaSCTanzania: Machache kati ya mengi mazuri ya EM 🇨🇩 #WenyeNchi #NguvuMoja
0
62
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
16 hours
@Captainpilo7 Mungu hajakuumba ili ujihukumu juu ya mtu asiyeweza kukupa uhai ishi kwa kuutambua wajibu wako kwenye dunia iliyojaa majaribu unayoyamudu
0
0
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
16 hours
@Adventure_36 Haitasemwa 🗣 ila ingekuwa Simba
0
0
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
17 hours
@Nyangemahaken Kanisani Epukeni masengenyo😁😁
1
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
17 hours
@MalemboLE Imani hubainisha yote yaonekanayo magumu
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
17 hours
RT @MalemboLE: Ni ngumu sana Kufanikiwa kwenye jambo usiloliamini, Anza na IMANI tenda kwa IMANI.
Tweet media one
0
99
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
17 hours
@INFLUENCERjr Jana pilau Leo zege hataki kuwa na wakwe
0
0
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
18 hours
@Iamfelixtz Hapo mpaka wa Simba na Yanga wamo
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
18 hours
@SportsarenatzTz @shaffihdauda1 @Kingvannytz_ @fumbokhanJr @Labella_Mafia95 @spana_Konki @EsirEid Bahari ya Hindi inashuhudia mengi uchumi wa blue umekuwa
0
0
2
@JTalent6
FikraYenyeNuru
18 hours
@anuskills3 Hapo alikuwa na miaka kumi.
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
19 hours
@BracuszCadabra Pamba walikuwa wanaamini wakikosa ushindi watadroo
0
0
1
@JTalent6
FikraYenyeNuru
20 hours
RT @SimbaSCTanzania: ⏭️ Mpinzani anayefata: Tanzania Prisons. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
0
46
0
@JTalent6
FikraYenyeNuru
21 hours
RT @ze_mandevu: Mimi nipo The Mandevu Store, je wewe unaruka tweet zangu ukiwa wapi ?😁
Tweet media one
0
198
0