George Haule Profile
George Haule

@GeorgeHaule14

Followers
138
Following
128
Statuses
2K

Joined May 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@GeorgeHaule14
George Haule
3 hours
@Liberatus80 @SuluhuSamia Ndugu yangu Libe hyo ni sirari tu ilitakiwa na Njombe kwa Rose mayemba iwe hivyo kama enzi za Mh Mbowe na Lowassa
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
22 hours
@saed_kubenea Sasa mzee kubenea hela za gazeti la mwanahalisi mapato yameshuka nn?, Ulivyohamia Nccr Mageuzi kwani wao na wewe nani anaufahamu?Wao wamesimamishwa tu na hawajatangaza kuhama kama vyeo na hela ni haki yao
0
0
1
@GeorgeHaule14
George Haule
2 days
@LuchioMbifile @godbless_lema Kiongozi anayejitambua huwezi kula matapishi yako,chama sio vizuri kicha ngiwe na mtu lazima kijitegemee na kubuni vyanzo na ruzuku nitashusha mpaka kata na kijiji na chama hiki kimeanza kuwa na rushwa au kupewa na Abdul na watu wameumizwa sana na chaguzi za kidaila
0
0
2
@GeorgeHaule14
George Haule
2 days
@kwamekivaisi Sisi tunajua ndio tuliompandisha na tutamshusha wenyewe
0
0
2
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@IamLyenda Ndugu hawa wote wanarudi ww utabaki na Lissu wako ndiye unayemuweza
0
0
1
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@Ndolezi_Petro Bila pesa chama utakiendeshaje ,au kwa kuropokeana
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@Zacharia_Obada Hawa wapenda vyeo na majimboni hawa chagulika na kuwa ogopa vijana wenzio wa ccm kushindwa kupambana huko majimboni mf mzuri Mabula hapo Nyamagana na Waitara Tarime vijijini vijana hawa waliufyata ndio vijana hawa wawe viongozi wa leo na kesho kweli?ila kukichafua chama wee!
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@MBISE255 @VitusNkuna Sio size yako achana na mtusi kwa mtu usiyefamfahamu ,karibu dogo nipo bongo sio nje
1
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@MBISE255 @VitusNkuna Unamjua? ila pole kwa kuwa leader wako mwambie Njombe hawezi kupata hata ubalozi labda ujumbe wa kupewa au akalime palachichi
1
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
3 days
@John_Pambalu Wajinga wengi na vijana wasaka vyeo unakaa pembeni usije ukaropoka
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
4 days
@DuniaSlaveDunia Huyu hajui tu ila Congo hana Jeshi hilo hilo ndilo linamgeuka
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
5 days
@ChiefLumanyika Nakubaliana na wewe ila kuna wajuwaji wachache watafuta vyeo kwenye chama hawakuelewa eti alikuja upinzani kuharibu na Dr slaa alikuwa anakubalika hivi? Na kumlaumu Mh Mbowe na haitatokea tena pongezi nyingi kwa Mh Mbowe ulifanya kazi inayotukuka duniani amen
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
5 days
@kashorgesh @mwaipungu24 Hilo ni doa kubwa sana ndani ya Chadema kukichafua chama,rushwa,na haya mambo yalikuwa ni ya kuongelea ndani, Lissu alikuwa anashinda hata asingeshinda nafac anayokubwa bila hata kuropoka,mf 2025 Njombe mkoa wote ccm wanashinda kilaini
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
5 days
@mwaipungu24 Nikiwa mm mwenye akili najiuzulu na kukisafisha chama mapema ili watu waendelee kuwa na imani nacho,ukiwa sikiliza wanachama wenye uchu na vyeo chama kinakufia na kubaki sehemu tu kama kule kwa mashemeji
0
0
2
@GeorgeHaule14
George Haule
7 days
@mdudenyagali @ngurumo Yupo sahihi uliofanyika Chadema ni utoto mkubwa sana unakichafua chama ili adui yako akupende eti kwa kusema ukweli wkt dola hamjapata kwa hawa ccm?, Mmewakoroga sana wapiga kura na wapenda upinzani,Bora mtoke mseme tulikosea!!
0
0
1
@GeorgeHaule14
George Haule
8 days
@msouth_Tupac Lkn sio vyama vya upinzani ambavyo vinatuhumiana kuwa vinatoa rushwa na wote wapo ndani ya uongozi na mtu anayeropoka hana ushahidi tutasubiri sana kuchukua nchi
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
10 days
@Liberatus80 Kuwarudisha watu ni ngumu au hawatawapigia kura wamekaa njiapanda kuwarudisha maana chama kinarushwa na maridhiano hapo ndio kazi ilipo ukiropoka ovyo ndio ilivyo
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
10 days
@Mwalim_Junior Bangi hizi Newton
0
0
0
@GeorgeHaule14
George Haule
11 days
@JustineOctavian @Lumola_Steven Alisema maridhiano yasiyo na tija huko ni kuramba asali na alimsema Mh Mbowe sasa yeye kafanya nini tuache unafiki
0
0
1