![Jeo Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1863838999942516736/tjrz1eq9_x96.jpg)
Jeo
@GNdamallya
Followers
13
Following
127
Statuses
382
@EduTalkTz Shida ya WaTz ujuaji mwingi,kwani kaka ungekaa kimya tu,usingepungukiwa na chochote.😎.
0
0
0
@MarekaMalili Game za hivyo siku zote zinaamuliwa na individual brilliance ya mchezaji bora wa timu.
0
0
0
@UTDTrey Mo Salah if he wins EPL n UCL…Raphinha if he wins La Liga and UCL…Antony if he continues to win player of the match.
0
0
0
@Wakazi I was jus enjoying the show,sikujua kama kulikuwa na ujumbe tofauti katika ile show,acha nibookmark nitaisoma baadae. Thanks Wassira for sharing.
0
0
1
@privaldinho Jaribu kuwa mwanamichezo mwenye sportmanship,kila siku vita tu,mtu hakuzingatii ila wewe umo tu,uko kwenye taasis kubwa,acha utoto.
0
0
0
@SportsarenatzTz @shaffihdauda1 @Kingvannytz_ @fumbokhanJr @Labella_Mafia95 @spana_Konki @EsirEid Mbona busu la maelekezo hilo.
1
0
0
@PresenterNoah Chambuzi,matumizi mabaya ya hisia hayo,hizo hisia ungetumia hata kupikia chakula.
0
0
0
@George_Ambangil @goligani @BetwayTanzania Kaka hili keka hili,usiemtegemea ndo anakuja kuzingua,dua nyingi litoboe tu.
0
0
1
@hecenmo @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Inawezekana kabisa yaan,sio kwa essay ile.
0
0
1
@SportsarenatzTz @shaffihdauda1 @Kingvannytz_ @spana_Konki @fumbokhanJr @Labella_Mafia95 @Rydx_017 @EsirEid Timu zikicheza na Yanga,zinapaki basi,so zitakuwa nyingi tu.
0
0
1