Facts_Lover Profile
Facts_Lover

@FactloverG

Followers
83
Following
2K
Statuses
4K

Here for weird and Amazing facts | DM for business

New York, USA
Joined June 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@FactloverG
Facts_Lover
8 hours
@mashauri_fabian @HKigwangalla Ubunge haupewi,unauchukua, either kiupole au kibabe
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
12 hours
@EconomyApp How come they have that big margins ?
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
18 hours
@YusufJM01 @MAGITE3 @Am_Romanii @tuuphilbert @spana_Konki Nairobi kuwa hub ya investors haina uhusiano na land br, Pale ni issue za sheria nyingine kabisa, kodi etc, Kwa hio na NALA wameenda Kenya kisa land Act ? Hao weusi wa SA wafanye kazi wanunue hizo ardhi, waache kupenda vya bure
0
0
1
@FactloverG
Facts_Lover
20 hours
@babalao__ Masaa mawili? Sina hata dakika 10 mm
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
21 hours
@MariaTshe Msalimie Kanumba na sharo millionea
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
22 hours
@YusufJM01 @MAGITE3 @Am_Romanii @tuuphilbert @spana_Konki Kama ndio mbongo wew na pesa yako tu kununua unapotaka, Unataka nunua kkoo sawa, unataka nunua Njombe sawa,
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
23 hours
@TheBlackmkoloni @IAMartin_ Paye anakatwa, Sema inakatwa kwenye mshahara ila Posho haikatwi, According to @zittokabwe
1
1
1
@FactloverG
Facts_Lover
24 hours
@MAGITE3 @Am_Romanii @tuuphilbert @YusufJM01 @spana_Konki Ina mana nikiwa na hela nikitaka ardhi south Africa nakosa ?
1
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
24 hours
@Janet33166245 @EduTalkTz @shumaabel Nikikuona wew huna hela maana yake mm ninazo?
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
1 day
@Am_Romanii @tuuphilbert @YusufJM01 @spana_Konki Hio ni sawa na kulalamika kwann majengo mengi kkoo ni wachaga, Hakuna aliekatazwa kununua ardhi SA, Ni vile wanataka blacks wagawiwe bure, kitu ambacho ni suicide kwa taifa hilo, Btw, SA itakuja kuwa failed state tu, hakuna kitu tena pale
1
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@_Mwafrica @raphyrodrick Ahaaa nipo mkoa kwa sasa, Ningekuwa huko ningeenda huko aiseee
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@azamfc Amkeniiiii
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@azamfc Mnazingua wazee, kazeni sanaaa
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@_Mwafrica @raphyrodrick Wanauzia tausi au wapi
1
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@azamfc Go azam Fc, Shindeni nyingiii
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
2 days
@Nachukiasiasa @Roma_Mkatoliki Hio pesa ni nyingi sana hata kwa waUSA wenyewe, ni mshahara wa mwez, Ni kama 1M hiv ya kwetu huku
1
0
3
@FactloverG
Facts_Lover
3 days
@laukipaji @TheRealEkiswaga Fuatilia kwanza nani mmiliki boss, Sometimes watu wanaachaga maeneo, Hata mm nina hio tabia 😂😂 unanunua eneo unakata hati miliki, unaliacha tu hata 20 years
1
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
3 days
@laukipaji @TheRealEkiswaga Nani alikuwa mmiliki? Kuna maeneo huku ya mzee mmoja, watu wanachezea mpira, wanaweka na magoli kabisa, ila ni kiwanja cha mtu na yeye kapiga kimya anadai wanamtunzia
0
0
0
@FactloverG
Facts_Lover
3 days
@laukipaji @TheRealEkiswaga Swali ni je hayo ni maeneo ya uwanja from start? Isije kuwa kilikuwa ni kiwanja cha mtu sema kapiga kimya mkawa mnacheza mpira mkahisi ni chenu
1
0
0