Chikumbi01 Profile Banner
A Man of The People Profile
A Man of The People

@Chikumbi01

Followers
776
Following
7K
Statuses
7K

African (YANGA), MAN U & Barcelona Fan.

Bogotรก, D.C., Colombia
Joined February 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Chikumbi01
A Man of The People
12 hours
@Jambotv_ @ChademaTz @HecheJohn @InnocentGen nirudi Tarime sasa nikaishi huko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umeikumbuka hiyo mitaa
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
24 hours
@fadhilikangusi Labda kama Longido na Monduli zisingekuwepo Arusha
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
24 hours
@LifeOfJuma @Kangaboy_ Saivi ni mwendo wa kuaibika tu
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
2 days
@Jambotv_ @InnocentGen njoo usikie huyu kishoko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
1
@Chikumbi01
A Man of The People
2 days
@FOODiCOLTD @ItsKamala Ila kwenye ununuzi wa magari na matumizi makubwa kwa viongozi hakuna ujana wa fedha??
0
0
1
@Chikumbi01
A Man of The People
2 days
@CarolNdosi @ItsKamala Samahani wewe ni waziri wa kilimo?
0
0
2
@Chikumbi01
A Man of The People
3 days
@Adamteng7 Kijana gani huyo mwenye fikra za Umaskini anayetaka kuingia huko jeshi la polisi
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
3 days
@MarekaMalili Hilo jina la Msengi kipindi mdogo nikivyokua nalitamka Mungu anajua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
4 days
@Captainpilo7 Msiba utakuwa wapi kaka ili tuje kuhudhuria
1
0
1
@Chikumbi01
A Man of The People
4 days
@iamFallacy 841KJ
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
4 days
@MabayaSam @tamim_kifungu Wapo kujazana ujinga tu
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
4 days
0
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@Jessy019913131 @Sylhomietz1 @EsirEid Ila wewe na hao wengine ndio mnajua bank officer anaanza na mshahara wa sh ngapi siyo?
0
0
1
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@ThatBoyGe @EsirEid Benki gani hiyo?
1
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@NYABANGE1 Anajua benki ni microfinance za mitaani hizi
1
0
0
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@tamim_kifungu @EsirEid Benki gani wanalipa hiyo 350k mpaka 500k labda mtu wa intern๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ story za vijiweni eti 350k
3
0
2
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@Sylhomietz1 @EsirEid Mtu basic ni 1M na point alafu unasema mshahara mdogo na walimu nao wa 700k wasemeje
2
0
2
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@shealerjohn77 @EsirEid Acha kudanganya watu kazi ya teller kila Afisa anauwezo wa kukaa, kuwa teller sio nafasi.
1
0
5
@Chikumbi01
A Man of The People
5 days
@Broken255 Unazijua sababu za kushindwa huko kupanda?
1
0
1