Baitu Profile
Baitu

@o_odillo

Followers
0
Following
12
Statuses
72

Joined October 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@o_odillo
Baitu
4 hours
@TanzaniaOneJezi Huyu ni mtoto, mbona wapo wengi mabonge
0
0
0
@o_odillo
Baitu
5 hours
Wanaume rijali, wenye kujitambua kimajukumu. Kama una mke na watoto bila kujali status yako ya kipato Ongeza sana juhudi katika sala/Dua kulingana na Imani yako kwa Mwenyezi Mungu. Cheza nafasi zako 3 muhimu kama Mwanaume, kama Baba na mwisho kama Mzazi. Itakulinda katika maisha.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
2 days
@Wizdomtz Zebra nilikuwa najua, ila hii mistari mingine najua ni kuweka mipaka ya upande huu na mwingine ila suala la overtake au usiovertake nimalijua leo. Asante lakini
1
0
3
@o_odillo
Baitu
2 days
@mdudenyagali Nawapongeza askari kwa kuondoa vibaka hao. Mwanao kutekwa halafu hujui amelalaje na yuko mazingira gani jambo linauma sana. Isikie kwa mwenzio. Vijana fanyeni kazi halali.
1
0
4
@o_odillo
Baitu
4 days
@fatma_karume English medium zao sasa m10-50 kwa mwaka, halafu unaambiwa elimu bila ada
0
0
0
@o_odillo
Baitu
5 days
@SharifaSabrina Kazia maji sana tena ya moto, sio ya baridi, angalau Lita 2 kila siku, utajikuta soda unaitamani tu kiasi kwamba kwa mwaka huwezi zidi soda 30, yaani Kuna mwezi unakata hata soda hujagusa Chupa yake.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
5 days
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Wala si la kushangaza kwasababu mtengeneza tatizo ndo mtatua tatizo na makofi na vigelegele juu
0
0
0
@o_odillo
Baitu
8 days
@Deo18Tarimo Ifike mahala wanaume wenzangu tujiamini, kama una mke anayejitambua, mtoto mkubwa anayejitambua, ndugu yako tumbo moja anayejitambua tafadhari unapoanzisha mradi regardless udogo au ukubwa wake wafanye hao watu wawe sehemu ya mradi. Uwepo usiwepo mradi utasonga mbele.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
9 days
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Mabinti wa kibongo.... Wanajua kujipamba...kwa mapenzi... Hatari hiyo
0
0
3
@o_odillo
Baitu
14 days
@Phbhimself Mkuu hongera sana kwa simulizi kali na ya kuvutia. Kwa ufupi umeiva kwenye simulizi zenye facts.
0
0
7
@o_odillo
Baitu
15 days
@Thommunkondya Tuliruhusiwa kuomba lift nadhani ndo muda mwafaka wa kuomba lift. Tusicheze na fursa. Ukiliona tu piga mkono simamisha omba wakusogeze .... Raia na mali zetu tuwe karibu na jeshi letu pendwa.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
17 days
@Rydx_017 Mhh kumbe wasanii wengine ni mbwembwe kwenye kamera na mitandaoni kumbe hata m15 hawana kuingia yard wakajichukulia vigari vya kawaida. Acha tulioko mtaani tupambane Mungu atabariki tununue zetu kuliko kusubiri vya bure na vikakuangamiza na kipaji chako.
0
0
2
@o_odillo
Baitu
17 days
@JulianaMbowe @Rydx_017 Naisubiri kwa ham
0
0
1
@o_odillo
Baitu
17 days
@Adventure_36 Mwaka wa kupiga kura yangu
0
0
0
@o_odillo
Baitu
17 days
@FatmahShokat Penda penda zawadi eeeee. Haya poa. Binafsi zawadi yako kauze niwekee hiyo hela benki matumizi nitapanga mwenyewe. Ndugu tuheshimiane tusipangiane matumizi
0
0
1
@o_odillo
Baitu
17 days
@tweetbylegendy Mi nilipojua mbwa analiwa iringa, panya mtwara, senene bukoba, nyoka, chura, mende, ng'e china, Vietnam, US hawali ugali wa mahindi, nikakutana na pweza na utumbo wa broila dar. Nikaapa suala la kula na kinacholiwa ni nini namuachia mlaji mwenyewe.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
17 days
@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ Hii ni bongo!! Gdlk alipokuwa amefikia ndo wa kushindwa kununua kigari cha bei ya kawaida akaendeleza Gospel mpaka akapewe zawadi ya gari na mwanaume mwenzie kwa lipi la kumfurahisha. Siku zote amini Uwezo wako aliokupa Mungu
0
0
0
@o_odillo
Baitu
17 days
@Phbhimself @nyuki_malkia DT this time around tutamkubali Dunia nzima na hasa wanaume wanaoelewa maana ya uanaume.
0
0
1
@o_odillo
Baitu
17 days
@Phbhimself @nyuki_malkia Binafsi namuunga mkono DT asilimia 200. Kama hayajakukuta we mwanaume, usiombe yakukute. Nenda Temeke kituo Jumuishi cha mirathi utashuhudia nyumba na mali zinavyouzwa kwa sababu ya upuuzi wa kugawana sawa baada ya talaka kutokea. Na talaka nyingi ni za mchongo za makusudi.
0
0
0
@o_odillo
Baitu
18 days
@MagdalenaJ81011 Wangu nimemzidi 15 net, sasa uliza maajabu tumezaliwa tarehe na mwezi vinafanana, yeye kazaliwa alhamisi mi nikazaliwa jumapili. Maisha yanaenda .....
1
0
1