@polo_kimani
Kuna my guy alinipea story juzi ati his friend alikuwa kejani amechill boy fulani akabisha kwa mlango akamgotea, after hapo wakaiingia kejani, boyz akampea laptop, simu na mpesa pin, kijana alikuja back to his senses after 30 minutes ndio akarealize.