![TZ MHH Coalition Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1518852459631980545/EdJ7fiPy_x96.jpg)
TZ MHH Coalition
@mhh_tz
Followers
22
Following
11
Statuses
16
A platform that strengthen coordination of MHH stakeholders to enhance Menstrual hygiene awareness, access to safe material and facilities for women and girls
Joined April 2022
RT @MsichanaUwezo: Jipatie copy ya Gazeti la Majira la leo @TimesMajira , Pedi Bila Kodi Inawezekana 💪🏻 #PediBilaKodi #MHDay2022
https://t.…
0
4
0
Hedhi ni tunu na msingi wa afya, dhamiria kuwekeza katika nyanja zote" Kutoea mkoani Kigoma Kilele cha maadhimisho ya siku ya hedhi duniani kikienda sambamba na mbio za hisani zilizo ongozwa na mke wa makamu wa raisi Tanzania Mama phillip mpango. #MenstrualHygieneDay
0
2
4
RT @MsichanaUwezo: Ewe binti, tunasheherekea na kujivunia pamoja nawe. Ujumbe wetu kwako, tumeufikisha. Huu ni Mwezi wa Hedhi salama! @mhh_…
0
3
0
RT @WaterAidTZ: Hedhi Salama inamaanisha nini kwako? Kwetu sisi inamaanisha Afya, heshima na thamani. Paza sauti kupinga mila na desturi po…
0
7
0
RT @MsichanaUwezo: Jipatie copy ya gazeti la @TheCitizenTz la leo kuona utafiti uliofanywa na @MsichanaUwezo kuhusiana na suala la Pedi Bil…
0
20
0
RT @wizara_afyatz: Nitoe wito kwa jamii kuachana na mila na desturi potofu kuhakikisha upatikanaji wa huduma na vifaa vya kujihifadhi hasa…
0
4
0
RT @wizara_afyatz: Miundombinu isiyokuwa rafiki kwa wasichana/wanawake wakati wa hedhi ina athari kama vile maambukizi katika njia ya mkojo…
0
10
0
RT @wizara_afyatz: Wizara kwa kushirikiana na wadau inaendelea kutoa elimu na uhamasishaji kwa jamii na shuleni ili kuongeza ufahamu juu ya…
0
4
0
Hedhi safi na salama hufanyika pale binti au mwanamke yuko katika mazingira rafiki ya kupata taulo salama za kike zenye ubora kwa afya yake ya uzazi, Sambamba na upatikanaji wa nyenzo zote muhimu kwa ajili ya usalama wake na mazingira. #MenstrualHygieneDay
#mhh2022
0
2
2
We urge more commitment at the village, ward, district and region levels to prioritize and indicate enough budget to support MHH in schools. #MenstrualHygieneDay
#mhday2022
0
5
12
Kuelekea Siku ya Hedhi Salama Duniani, shiriki challenge hii kwa kurekodi video ya dakika 1 ukielezea nini maana ya hedhi salama kwako na mchango unaotoa katika kuhakikisha wasichana na wanawake wanapata hedhi safi na salama #MenstrualHygieneDay
#MHday2022
1
6
7
Hedhi Salama inamaanisha nini kwako? ungana nasi! Kwetu sisi inamaanisha Afya, heshima na thamani. paza sauti kupinga mila na desturi potofu kuhusu hedhi salama. #menstrualhygineday
#MHday2022
0
2
5
Kuelekea Maadhimisho ya siku ya hedhi salama duniani, kitaifa kufanyika Mkoani Kigoma 28.05.2022 Jukwaa la hedhi Salama Tanzania inawaletea mbio maalum Run for Hedhi Salama Mkoani Kigoma kwa ajili ya kukuza uelewa juu ya hedhi salamaTanzania #menstrualhygineday
#MHday2022
0
1
2