TimesMajira Profile Banner
TimesMajira Profile
TimesMajira

@TimesMajira

Followers
783
Following
13K
Statuses
17K

Ukurasa Rasmi wa Gazeti la Majira

Joined September 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TimesMajira
TimesMajira
4 months
Tanzania inaendelea kung’ara kwenye jukwaa la kimataifa! Katika tuzo za hivi karibuni za World Travel Awards, nchi imejipatia tuzo kadhaa za heshima, ikithibitisha sifa yake kama kivutio kikubwa cha utalii.
Tweet media one
Tweet media two
7
14
15
@TimesMajira
TimesMajira
8 days
na wanachama hao waweze kuelewa kazi ya serikali nanamna inavyo endelea kuleta maendeleo na kuboresha huduma ya maji katika Jimbo la Mbarali. #TimesMajiraUpdates
Tweet media one
1
0
1
@TimesMajira
TimesMajira
8 days
la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu serikali mtandao (ICT). #TimesMajiraUpdates
Tweet media one
0
0
2
@TimesMajira
TimesMajira
8 days
Jumla ya mali za benki hiyo zimeongezeka kwa 4.7%, kufikia TZS trilioni 3.1, na kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya taasisi zinazoongoza katika sekta ya kifedha Tanzania. Kiasi cha mikopo yake kimefikia TZS trilioni 1.8, ikirekodi ongezeko la kuvutia la 19.1% kwa mwaka.
Tweet media one
0
0
3
@TimesMajira
TimesMajira
8 days
Aidha Mbunge Bahati Kenneth Ndingo amekabidhi Mitungi ya gesi kwa mamantilie 100 kwa lengo la kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan kwaajili ya matumizi ya nishati Safi ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi
Tweet media one
0
0
0
@TimesMajira
TimesMajira
11 days
Mashina yaliyozinduliwa ni Tazara Mbuyuni, Uhamila, Magea na shina la dume CCM.
Tweet media one
0
0
1