![Lupin🧠 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1605141552543809536/t6dAyXAa_x96.jpg)
Lupin🧠
@kondey_
Followers
1K
Following
1K
Statuses
8K
chelseafans⚽️ i 😍 you Parents 👨👩👧 Founder:Tunza tower Network🛰
Joined June 2014
@JumanneMkilya Kwa uzoefu wangu haya ni maji ambayo yana chumvi iliyopitiliza,so yanaenda kufanya mizizi isiweze tafuta chakula so result ake mmea unakauka,au ukungu umepelekea kupata madhira haya ingawa ni kwa uchache sana ukungu unaweza kausha jani la kitunguu
0
0
0
@Neypaul01 Naona mabadiliko ni makubwa Ile sura na mwili wa usichana imehama na sasa uko tayari kwa ajili ya mavuno 🤣🤣🤣🤣
0
0
0